Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Akiomba na wewe muombe, asipopiga mpigie.

Tatizo liko wapi?

Wanaume wenyewe wa siku hizi ndio hawa wa "Seduce Me" , unasubiri mpaka wakupigie?
Kwa kweli hii mbinu itafaa zaidi.
 
Dah kuna kabinti cha kisukuma sehemu ninayofanyia kazi yeye ni mwanafunzi, yaani kananitega hako hata haogopi sasa kumuomba namba eti Sikupi.... Wakati wengine tuna namba zao na hatuwatafuti, kweli malipo ni hapa hapa duniani.
 
Jamani msichana yoyote anipatie namba please naapa nitampigia..
 
Dah kuna kabinti cha kisukuma sehemu ninayofanyia kazi yeye ni mwanafunzi, yaani kananitega hako hata haogopi sasa kumuomba namba eti Sikupi.... Wakati wengine tuna namba zao na hatuwatafuti, kweli malipo ni hapa hapa duniani.
Mpe ya kwako mkuu pengine atapiga.
 
Dah kuna kabinti cha kisukuma sehemu ninayofanyia kazi yeye ni mwanafunzi, yaani kananitega hako hata haogopi sasa kumuomba namba eti Sikupi.... Wakati wengine tuna namba zao na hatuwatafuti, kweli malipo ni hapa hapa duniani.

sasa mbn hako dawa yake ndogo sana mkuu !chonga dili na Dk akachome sindano ya usngiz ukakule !easy
 
Kweli bwana business card muhimu, bora upewe card hlf mwenyewe utajua kama umpigie au la. Kama halipi akikupa mgongo tu unaichana hapo hapo
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ahaa saiv nikitoa biashara kadi jicho langu halitokuacha labda ukaichanie nyumbani kwako.
 
Kwa kweli hii mbinu itafaa zaidi.
Wanawake wa siku hizi wengi - sio wote- hawaeleweki.

Hao hao wanataka usawa, zikija fursa za usawa kama za kuanza kumpigia mwanamme simu, hawataki usawa, wanataka mwanamme ndiye awe anaanza kupiga simu.

Kama mwanamke hataki usawa, na anataka mwanamme ndiye awe kiranja wa maisha yake, then akitaka mwanamme aanze kupiga simu sina tatizo, huyo kaamua kwamba mwanamme ndiye awe muanzishaji mambo.

No contradiction there.

Lakini kuna wengine wanataka usawa, halafu bado wanataka mwanamme ndiye awe muanzishaji kupiga simu.

Hawa bado sijawaelewa kama wanakwenda au wanarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…