Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Kuna jamaa yangu hapa ananiambia kuwa

Sometimes huwa wanawaomba namba ili msijisikie vibaya maana huwa mnawatamani mno.
 
Tukipiga majina mnayotusave sasa, mara matako, mara shetani, mara faru john duh
 
Nimekumbuka tu enzi hizo
Mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki,mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwa nini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue,
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili ,eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa,sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba,
Inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.
Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.

Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg
Ni pm namba yako ya simu. Haki ya mungu mm nitakupigia
 
Niletee # yako PM nikupigie mrembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ujaolewa tuuh..! Ilikuwa unasaka mchepuko mmhh...!

Street teacher
 
Pow tumekuelewa
naomba no yako basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini unajua nyie huwa mnaomba kisha mnasave haoo mnaondoka.
Kwa hiyo namba zenu tunakua hatuna.
Nenda pm nimekuomba namba uchague kuacha yako au unipigie...! Nitaleta mrejesho hapa km nyie huwa mnatimiza seriously..[emoji125][emoji125]

Street teacher
 
Back
Top Bottom