Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

dah ivi kumbe huwa inawaumiza tusipopiga, basi msiwe na madoido tukiwaomba kuzitoa maana kuna wengine ukimuomba namba atakuletea poziii an minato kama asali hadi akija kukupa mood ishakata. ukweli n kwamba nkimuomba namba mdada af akanambia nipe ya kwako najua n maana nyingine ya kusema sitaki.
 
Hahaaaa. Nimecheka sana.

Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa
naomba namba yako [emoji56] [emoji56] [emoji56] nikupigie

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Yaani ungekuwa karibu ningekununulia balimi moja.
Umenifurahisha,wimbo wa taifa. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hahaha hizo balimi zilizopendwa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1]
 
Unakuta siku hyo mtu kaomba namba kwa wadada zaidi ya watatu na wote wamempa,sasa unachagua kati yao mkali zaidi ndo unaendelea naye.

Wengine wanakuwa wanafanya tu mazoezi ya confidence,so ukishampa namba zoezi linakuwa limekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama unayoo mbona usinipigie siku zoote hizo... Acha zereu, ujue nilikupa kwa heshima
Duhh....
Ongea polepole, tusije tukaanzishiwa uzi.....[emoji12] [emoji12]
Tayari nimesha kupigia pm....[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom