Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Mie naomba namba yako nitapiga usitie hofu. Nasubiri kwa shauku kubwa nione kama nitafanikiwa😛😛

Hahaaaa. Nimecheka sana.

Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa
 
Mie naomba namba yako nitapiga usitie hofu. Nasubiri kwa shauku kubwa nione kama nitafanikiwa😛😛
Ujue kila siku natamani uniombe namba hatimaye leo imetimia lol. Nakupa kwa moyo mmoja BAK ila usiache kupiga lakini. [emoji12] [emoji12]

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa mbona ulikuwa husemi Emmy!? Nasikia eti una sauti nyororo naweza kudata nikagoma kukata simu lol! Haya nimekodoa macho nasubiri hizo digits nikusikie hewani. Usione aibu kuwa mkweli, msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu.

Ujue kila siku natamani uniombe namba hatimaye leo imetimia lol. Nakupa kwa moyo mmoja BAK ila usiache kupiga lakini. [emoji12] [emoji12]

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Hahaah we bhana unaniuzia kibudu kwenye kiroba. Vijana wa leo wanadhani wakishamiliki viTecno vyao basi wamemaliza kila kitu...

Pamoja na kuwa mi ni mkulima wa matikiti maji angalau najipa maujiko kwa kugawa vibizness kadi vyangu kwa wenye magenge na mama lishe.... inalipa kiaina

ukiona unampa mtu business card akakikataa huyo kashuka na 'najmunisa' !unakataeje business card sasa !km hutoKei tabora,maswa,geita SIJUI!
 
Sasa mbona ulikuwa husemi Emmy!? Nasikia eti una sauti nyororo naweza kudata nikagoma kukata simu lol! Haya nimekodoa macho nasubiri hizo digits nikusikie hewani. Usione aibu kuwa mkweli, msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu.

Haaahahhaah huo msemo nimjikuta nauchukia 'msema kweli...
 
Sasa mbona ulikuwa husemi Emmy!? Nasikia eti una sauti nyororo naweza kudata nikagoma kukata simu lol! Haya nimekodoa macho nasubiri hizo digits nikusikie hewani. Usione aibu kuwa mkweli, msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu.
Niliona aibu kuomba [emoji85] [emoji85]. Nina sauti nzito BAK we acha tu , ila nitakupa ili ujiridhishe mwenyewe. [emoji12] [emoji12]

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Unajua hicho kiemoji cha Nyani kimejiziba mdomo sijui kinatukana kila nikikiona huwa natabasamu 🙂🙂. Ujue nasubiri hivyo.

Niliona aibu kuomba [emoji85] [emoji85]. Nina sauti nzito BAK we acha tu , ila nitakupa ili ujiridhishe mwenyewe. [emoji12] [emoji12]

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Sometime ukifikilia process ya kutongoza na kufatilia fatilia,mostly girls aint straight wanakonakona nyingi...unaona yatakuwa yaleyale,unakuta umeghahiri...na kingine life is too busy sometime unataka uhandle vitu vingi at once,so texts inakuwa so suitable na unakuta mwingine perception yake anaona ukimtext kuwa hunapesa ya kupiga na anapiga kimya,mtu unaona who cant chat cant even afford the nature of one's communication, mwingine umemtext then she calls,unaona huyu naye yale yale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom