NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
Umenitonya maujanja kesho naenda design my own business card for chicks.we bado kinda mie mwenyew nna business card mulize Asprin anawanasaje !
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenitonya maujanja kesho naenda design my own business card for chicks.we bado kinda mie mwenyew nna business card mulize Asprin anawanasaje !
naomba namba yako [emoji56] [emoji56] [emoji56] nikupigie
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Naomba no yako rafikiNgoja kupambazuke mkuu. Nitakupa ila ndio upige sasa. [emoji125] [emoji125]
Nakutajia best andika. [emoji12]Naomba no yako rafiki
Hahaaaa. Nimecheka sana.
Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa
OK ngoja nichukue kalamu na karatasi.Nakutajia best andika. [emoji12]
Hivi upo dunia hii kweli.
Ujue kila siku natamani uniombe namba hatimaye leo imetimia lol. Nakupa kwa moyo mmoja BAK ila usiache kupiga lakini. [emoji12] [emoji12]Mie naomba namba yako nitapiga usitie hofu. Nasubiri kwa shauku kubwa nione kama nitafanikiwa😛😛
Hahaha namm nipm namba yako nkupigie [emoji23] [emoji23] [emoji23]yani halafu kuna mtu kasema anatuma hela mpaka sa hivi simuelewi
Kulikoni best. Kwema huko?OK ngoja nichukue kalamu na karatasi.
Nipo ila siyo sana best
Umenitonya maujanja kesho naenda design my own business card for chicks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maadam sina mkojo... maswali haya ntayajibu nikiwa na wakili wangu.
Japo kuna maswali mengine nashindwa kuyajibu sababu ya wivu.
Ujue kila siku natamani uniombe namba hatimaye leo imetimia lol. Nakupa kwa moyo mmoja BAK ila usiache kupiga lakini. [emoji12] [emoji12]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hahaah we bhana unaniuzia kibudu kwenye kiroba. Vijana wa leo wanadhani wakishamiliki viTecno vyao basi wamemaliza kila kitu...
Pamoja na kuwa mi ni mkulima wa matikiti maji angalau najipa maujiko kwa kugawa vibizness kadi vyangu kwa wenye magenge na mama lishe.... inalipa kiaina
Sasa mbona ulikuwa husemi Emmy!? Nasikia eti una sauti nyororo naweza kudata nikagoma kukata simu lol! Haya nimekodoa macho nasubiri hizo digits nikusikie hewani. Usione aibu kuwa mkweli, msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu.
Niliona aibu kuomba [emoji85] [emoji85]. Nina sauti nzito BAK we acha tu , ila nitakupa ili ujiridhishe mwenyewe. [emoji12] [emoji12]Sasa mbona ulikuwa husemi Emmy!? Nasikia eti una sauti nyororo naweza kudata nikagoma kukata simu lol! Haya nimekodoa macho nasubiri hizo digits nikusikie hewani. Usione aibu kuwa mkweli, msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu.
Niliona aibu kuomba [emoji85] [emoji85]. Nina sauti nzito BAK we acha tu , ila nitakupa ili ujiridhishe mwenyewe. [emoji12] [emoji12]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hahaaaa. Kama unatabasamu kila ukikiona ujue kinasema maneno mazuri. [emoji2] [emoji2]Unajua hicho kiemoji cha Nyani kimejiziba mdomo sijui kinatukana kila nikikiona huwa natabasamu 🙂🙂. Ujue nasubiri hivyo.