LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe.
Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah.
Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki unashangaa " Hivi nimemkosea nini mtu huyu Abdallah mimi".
Mwenye mabinti sasa:
Baba : Nyie watoto nani kawanyoa hizo nywele wakati umeme umekatika saluni zote hazifanyi kazi?
Watoto: Tumenyolewa na Dullah dada alimpa dula hela atunyuoe. ( Dada mwenyewe ana miaka 16)
Baba: Unasema!! Anaitwa nani? DULLAH!!! Huyu dada yenu atakuja kunieleza vizuri leo akija.
Akute kwenye simu ya mkewe au bintiye( under 18) amesave jina Dullah basi itakuwa ugomvi na mkewe/ bintiye, Dullah utasumbuliwa kweli.
Amsikie mkewe/ bintiye anaita jina " Dullah" itakuwa kesi kubwa sana hiyo kwa mkewe atanuna hapo hatari...
Hivi sisi wakina Abdallah tumewakosea nini nyinyi ma uncle?
Kama na wewe unae Soma ujumbe huu inaitwa Dullah na unakutana na kadhia hii hebu share comment yako wakina Dullah wote waone.