Tatizo linakuja kwa wanawake wa ndoa kujisahau na hasa kule kudharau wajibu wake. Utakuta mwanamme karudi nyumbani baada ya kazi, the first thing anataka kuona ni mke wake anamsalimia kwa unyenyekevu, bahati mbaya unakuta mwanamke naye kaenda kwa mchepuko wake kumpokea na kumtumikia huku majukumu yake ya kindoa kamwachia house girl wake. Baba mwenye nyumba anakuja nyumbani anapokelewa kwa unyenyekevu wa house girl na kumpa pole na kazi. Mwanamme ni kiumbe mpole sana na mwenye huruma, akipokelewa mara mbili namna hii na house girl wake LAZIMA tu atakuwa na mawazo mbadala na suluhisho ni 'Ze Gegedo.' Kisingizio cha kusema kuwa house girl hafai linakuja kama house girl mwenyewe hana mbwembwe kitandani yaani kakaa kama mke wa ndoa, hapa ndipo unamwambia mke kuwa mtafute house girl mwingine huyu uliyenaye hafai, anakiburi sana huku ukichekea bafuni.