Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Mkuu hata wenzio tulikuwa tunasema hivyo hivyo lakini baada ya kuoa sasa tunakutana nayo. Mwanamke anaweza asikunyime ila action zake wakati wa tendo utgundua tu kuwa hayupo kwenye game. Mfano unaweza kumwandaa hata nusu saa lakini kama hataki K inakuwa kavu kama jiwe.
Wanaume wengi ni walalamishi ili kutafta kisingizio kuchepuka ujue kihisia wanawake huwa zinakuwa mbali inahtaji kusali na upendo sasa nyie ukute mnawaudhi yeye yuko kimya kachoka, pia huko kuwa kukavu madawa ya uzazi nayo yachangia, ukiona unamchoka mkeo humvumilii ujue hukumpenda vzuri, mbona sie huwavumilia na vibamia vyenu Ku papu hamjui, nyie wanaume jiheshimu aisee namkukue
 
Wanaheshima/hawajibu jibu hovyo/hawakubinulii midomo/sio viburi/Na zaidi ya yote wanafanya 98% ya kazi za mke.....So inshort ni kama Mke tu kasoro pete. Maana hiyo 2% no papuchi ambayo pia mama mwenye nyumba hachelewi kukwambia nimechoka na kazi za ofisini subiri kesho n bla bla bla
Basi muoe huyo beki tatu uone kama atakuwa vile vile, wale wanakuwa wanabembeleza kazi katoka huko maisha magumu akikunyima si atafukuzwa kazi, mbona wapo mabeki 3 ambao huwa umbua mababa msijipendelee kiasi hicho
 
Wanaume wengi ni walalamishi ili kutafta kisingizio kuchepuka ujue kihisia wanawake huwa zinakuwa mbali inahtaji kusali na upendo sasa nyie ukute mnawaudhi yeye yuko kimya kachoka, pia huko kuwa kukavu madawa ya uzazi nayo yachangia, ukiona unamchoka mkeo humvumilii ujue hukumpenda vzuri, mbona sie huwavumilia na vibamia vyenu Ku papu hamjui, nyie wanaume jiheshimu aisee namkukue
Kuna kiumbe asiye mlalamishi kama mwanamke...." hata umpe dunia nzima na mbingu yote bado atalamika tu".
 
Hizo ndiyo akili sasa miaka 3 mnaishi uke wenza usijue si anaweza akazaa mtoto akatunzwa humo humo usijue akamtaja mkaka asiyekuwepo ukamtunza kumbe niwa mmeo, mwenye akili hata dalili utajua tu unatibua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli yani miaka 3 ndani ya nyumba moja haiwezekani nisijue looh
 
Kuna kiumbe asiye mlalamishi kama mwanamke...." hata umpe dunia nzima na mbingu yote bado atalamika tu".
Hii mada INA wanaume wapumbavu ndo maana wake wanawanyima papuchi wanaenda kugawa nje wewe wachepuka na beki Tatu wafikiria.mke hajui kumbe anajua naye anakipoozeo kinacho mhonga sasa kwanini ajichoshe na wewe wakati hisia zimeshakufa yani, ukiona mwanamke anakunyima ujue hisia Hanna lbora muendelee kula beki Tatu na yeye anaye mwingine mwenye hadhi kuliko wewe baba mjengo
 
Kama hisia hana si aseme asepe!
 
Watoto ila baba nae si sehemu ya watoto wako?
Ujue wanawake tumeumbwa kuanza kushtukia nyie wanaume ndo hufanya wanawake wawachoke wewe watoka na beki tati wajua siri kumbe yeye anajua automatic upendo unakufa anajitaftia wake wewe unabaki tu baba mwenye mji. Siku wanaume mkajiheshimu hamna mwanamke anayeweza kuwa mjeuri bora kumuelekeza kwa upendo kuchepuka sio solution
 
Watoto ila baba nae si sehemu ya watoto wako?
Ungewaza watoto then usingeenda kutafuta ukimwi nje. Ungeomba talaka yako ili ukakae na huyo ambae una hisia nae. Atamlea tu vzri mtoto na atakuja kumtembelea baba yake weeknd
 
Hii mada INA wanaume wapumbavu ndo maana wake wanawanyima papuchi wanaenda kugawa nje wewe wachepuka na beki Tatu wafikiria.mke hajui kumbe anajua naye anakipoozeo kinacho mhonga sasa kwanini ajichoshe na wewe wakati hisia zimeshakufa yani, ukiona mwanamke anakunyima ujue hisia Hanna lbora muendelee kula beki Tatu na yeye anaye mwingine mwenye hadhi kuliko wewe baba mjengo
Sasa kwa hii comment mbona na wewe unaingia kwenye braces za hao wapumbavu. Ina maana umnyime mumeo unyumba kwa sababu ya uvivu wako halafu akilalamika na kuanza tembea na beki 3 uanze kumuita mpumbavu na wewe kuchepuka na mtu nje. Ni akili hio???
 
Hii imeshatokea pia kwenye familia yetu, kaka zangu wa 3, mzee na mm kila mtu kwa wakati wake
Mungu wangu kama mmoja wenu angekuwa tayari si kizazi chenu mnakizika kabisa? Ukoo wa panya
 
Sasa kwa hii comment mbona na wewe unaingia kwenye braces za hao wapumbavu. Ina maana umnyime mumeo unyumba kwa sababu ya uvivu wako halafu akianza tembea na beki 3 uanze kumuita mpumbavu na wewe kuchepuka. Ni akili hio???
Mimi sio pumbavu ila nyie waume ndo huanza kuharibu nyumba ujue mapenzi ni hisia wewe unanikwanza hujaniandaa unataka ngono na nyie wanaume huwa rahisi kusahau maudhi yenu kwetu nyege zikiwapanda unataka nikupe tu si bora uende tu kwa huyo beki Tatu maana ndo solution na Mimi nitafta mwingine maana mume kuchepuka hakupendi sasa ili Ku neutralize hali dawa nikutafta na wewe wakukupunguzia machungu na nyie mubaki na beki Tatu. Hafu nyie mwataka kuchepuka wake zenu wakichepuka mwawa wakali. Mi baby wangu akichepuka mi ni date marafiki zake hadharani tuone[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sasa hapo wewe ukila beki Tatu naye anaye wake hapo mnabaki kuishi ka MTU na Dada basi, for the sake ya kids basi ndo mana hisia hamna
Haiwezi kuwa for the sake of the kids wakati wewe mwenyewe umesema unatoka nje sababu hisia hakuna unadhani uko nje utapa maua au Ukimwi au ndio for the sake of ur kids. Kama unawapenda watoto wako then omba talaka ukakae na huyo ambae una hisia nae wanaume hawabaguagi watoto wasio wazaa kama wanawake wafanyavyo najua atawapenda na kwa baba yao watakuja kutembelea mbona wapo waliofanya hvy na maisha yakaenda
 
Mungu wangu kama mmoja wenu angekuwa tayari si kizazi chenu mnakizika kabisa? Ukoo wa panya
Tabia mbovu yakutokujiheshimu kwa kweli Dada wa kazi aliwahi ambukiza baba na wanawe waliokuwa wana balehe
 
Ujue wanawake tumeumbwa kuanza kushtukia nyie wanaume ndo hufanya wanawake wawachoke wewe watoka na beki tati wajua siri kumbe yeye anajua automatic upendo unakufa anajitaftia wake wewe unabaki tu baba mwenye mji. Siku wanaume mkajiheshimu hamna mwanamke anayeweza kuwa mjeuri bora kumuelekeza kwa upendo kuchepuka sio solution
Hamna mwanaume mjanja kwa mwanamke anaejua kucheza vyema na nafasi yake. Ndio maana hata wengine wana fall in love na mabeki 3. Tafakari hilo.

Unataka mume ajiheshimu na wakati humpi heshima na nafasi kama mume, humkirimu vyema akitoka job ila makelele mtindo mmoja, humpikii, unyumba ndio unasuasua tofauti na kabla hujaolewa jinsi ulivyokuwa unajituma yet utamlaumu mume akitafta suluhisho pembeni. Whose bad now???
 
Back
Top Bottom