Mm nimekula beki tatu wangu miaka kama 3 hivi na si kukamatwa, and nlichogundua tu, ni kwamba baada ya kuanza kula beki3, upendo na mke wangu uliongezeka kwani nlimpenda zaidi, pia tukawa hatugombani mara kwa mara maana nlikuwa nawahi kurudi yaan nikitoka tu job narudi home. Maana nlikuwa napenda kuwa karibu na beki tatu wangu. Yaan nlikuwa nikimsikia anacheka, ama anaongea najiskia raha sana. Beki tatu hasumbui ukitaka mzigo yaan anytime, anywhere, in short unapewa hata mara tatu kwa siku. Njia kuu usumbufu mtupu. Kaondoka beki3 wangu saiz kurudi hom mpaka giza liingie
Na cha kushangaza wife na beki3 walikuwa marafiki kinyama yaan wanapendana balaa