Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama jiwe!!!
 
MWANAUME RIJALI HUWA HAPENDI DHARAU KIBURI NA CHUKI ZISIZO NA SABABU!
BEKI TATU HANA VYOTE HIVYO, ILA MAZA HAUZI, UTAZANI KUNA MTU ANASHINDANA NAE!
 
Bora kuoa mwanamke ambaye hajasoma anakuwa inferior na ndo inavyotakiwa
Na wanajua kunyenyekea mume, yani we ndio tumaini lake pekee. Kile kipengele cha utii na heshima wanajua kukitendea haki sana na hawapendi kukuudhi ama kukuumiza kwa namna yeyote. So wanajitoaga kwa lolote as long as we uwe na amani tu.
Ila hawa waliosoma adabu ni zero, yani wanaoelewa ndoa ni taasisi inayojitegemea na kanuni zake ni 30/100
 
Reactions: mij
Kweli,inasidia na kuimarisha mfumo wa fahamu pia,unakuwa active kimwili na kiakili,hawa viumbe wana umuhimu bwana,sema ndo hivyo changamoto pia zipo kama hizo
 
Reactions: mij
Mimi nilishaacha mambo ya kuandaana baada ya kuona analeta mizinguo. Mimi napanda tu na kumwaga zangu basi.
Yeah mizuka kama hamna ndio inavyokuwa hivyo, unapanda kama pikipiki tu unawasha unatembea amna aja ya kusubiri oil ipate moto!
 
Kweli,inasidia na kuimarisha mfumo wa fahamu pia,unakuwa active kimwili na kiakili,hawa viumbe wana umuhimu bwana,sema ndo hivyo changamoto pia zipo kama hizo

Siku boss wa kiume akiwa mkali sana ofisini ww jaribu tu kumdodosa atakwambia mkewe amemzingua kwenye tendo. Hili tendo linaleta sana utulivu mkuu.
 
Endelea nae tu mkuu, hadi atakapo mdedisha mkeo ndio utapata akili
 
Mke ni nani?Ni mwenza,na kwa mila za kiafrika,anakupikia,anakufulia,anakuwekea maji ya kuoga.Beki tatu ni mke kama anafanya hivyo vyote kwa hiyo akiliwa uroda wala sio cha ajabu kama mke akiona anaumia aondoke tu kwani beki tatu tayari ana mudu kutunza nyumba.Kama hutaki mumeo ale beki tatu basi kaa nyumbani utunze familia ila kama unazurura na kutafuta pesa wakati beki tatu amaetulia nyumbani anakusanya joto na kusafisha mwili wake mpaka ananawiri akiliwa unashangaa nini na kulalamika.

Kama mwananume una beki tatu ambaye ni 18+ halafu haumli sio kwa sababu eti hutaki ila ni ujsiri hauna ama huko nje unapiga sana.

Kwa ufupi BEKI TATU NI MKE MDOGO NA WANAWAKE INABIDI MZOEE NA KUKUBALIANA NA HIYO HALI
 
Wanaheshima/hawajibu jibu hovyo/hawakubinulii midomo/sio viburi/Na zaidi ya yote wanafanya 98% ya kazi za mke.....So inshort ni kama Mke tu kasoro pete. Maana hiyo 2% no papuchi ambayo pia mama mwenye nyumba hachelewi kukwambia nimechoka na kazi za ofisini subiri kesho n bla bla bla
 
Huwezi kumfunga mbuzi karibu na majani kisha mbuzi kashiba!
 
Humu kwenye hii thread kuna upumbavu mwingi sana, lkn kwa wanawake wenye busara wanachota hekima. Kuna mmoja amefyatuka maneno makali mno yenye matusi. Anasema mwanaume anapohitaji tendo haangalii nafasi au cheo cha mwanamke, ni elimu nzuri sana kwa wanawake wanaopenda ndoa zao zidumu, ziwe na amani na upendo.

Sichangii tena bali nafuatilia yanayojiri.

Vv
 
hah ha ahaah
 
Duh! Ujumbe huu sijui wanawake wameuelewa ipasavyo?
 
Sasa hapo huwa tunawaza watoto tu mengine hayana nafasi nyie binjukeni mtakavyo
 
Huwa inafika wakati natamani labda nisingesoma maana upeo wangu ni mkubwa hakuna sehemu Mr akacheat nisijue hadi najichukia maana stress zingine za hovyo tu
Hizo ndiyo akili sasa miaka 3 mnaishi uke wenza usijue si anaweza akazaa mtoto akatunzwa humo humo usijue akamtaja mkaka asiyekuwepo ukamtunza kumbe niwa mmeo, mwenye akili hata dalili utajua tu unatibua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…