Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Sababu mwanaume haanzia kulala na hg from nowhere bali sababu zote zinaanzia kwa mama....
 
Hakuna goigoi kibao tu watu hawaongei tu kwa kuona aibu anamvua nguo mmewe
 
Nikikufuma ndoa inaishia hapo hapo
Kwanini iishie hapo, kama unaishi na beki 3 miaka 3 bila mke kujua, unazani mke ataisha naye muda gani atapikiwa msosi mzuri kushinda unaopewa wewe
 
Kuna wanaume wana pewa equal treatment kujaliwa lakini ndo michepuko haiishi so kuchepuka ni umalaya tu hauhisiani na kujaliwa mapenzi hujengwa na wawili mi nikipata watoto kwa kweli mwanaume chepuka utakavyo utajiju babu eeeh
 
Ukisikia mpira umegonga besela au mtambaa panya ndo Huku.
 
Kwanini mwanaume anayechepuka asiombe talaka mapema ujue wanaume mnajitaftia maradhi ndo maana hufa mapema nakuacha wanawake michepuko mingi washirikina madawa sasa Mimi kwanini nihangaike na MTU mzima anayetaka kukidhi haja zake si bora kuhangaika na watoto wangu na furaha yangu
 
Siyo mchezo. Kwa hiyo ngoma ni droo. Sasa, kwa house girl mwanaume ndo anaanza kumtongoza, sasa je na houseboy ni mama ndo unaanza kumtongoza au anakuwa amekutongoza unamkubalia
Vyovyote vile kutongoza hakuna mipaka unampiga pamba anakuwa hb kabisa, baba akisafiri ndiyo kabisa
 
Hafu ndoa ni zaidi ya Ku do sasa ka mnawaza ngono mda wote maendeleo mnafikiria SAA ngapi maana ka ngono Ku solve kumewashinda ndo mambo mengine.
Ngono ni sehemu muhimu ya kutukutanisha na kujenga ukaribu na wapenzi wetu na huwezi kutenganisha ngono na kidume ila kukikucha shughuli za kuleta maendeleo zinaendelea kama kawaida.

Sioni kama hilo ni excuse ya kujustify uvivu wako kwa maana kiuhalisia nadhani 90% ya waume lazma wana shughuli flani ya kuwaingizia kipato cha kuishi na mke na familia.
 
Ugoi goi mnausababisha wenyewe mara unasema usinishike mara usinibinue,mbona michepuko tunaifikisha kileleni
Hakuna bwana nyie hawahawa wala viepe tunasikia mambo mengi sana michepuko yenu inawatolea siri zenu mpaka mtu anajiuliza jamani huyo anayesemwa mbona kama mme wangu
 
Sasa nyie mchepuke hafu mje mpewe papuchi tena simhamie tu huko mchepukoni ukijiheshimu lazima mkeo hakuheshimu ila nyie mnaonaga wake zenu ni wajinga hawajui kinachoendelea.
Ujue MTU akikosea.mwelekeze kwa upendo arudi mstarini sasa nyie chepukeni ufikiri urudi kwa mkeo atakuacha salama matokeo yake mnashindwa kujenga familia imara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…