Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Lazima kudanga kwa manufaa na wanaume wenye hadhi ili mambo yaende kusema kuhangaika na mume eti kumpendezesha asichepuke huko nikujichosha bora kutafta tu hela by any means
Kujichosha haswa maana hawabebeki unaweza usiwe hata na house girl kila kitu mfanyie lakini anakuacha na kwenda kuhangaika huko
 
Ufanye ya hovyo ukitegemea mke atavumilia uchafu wa mme kama hajitambui sawa lakini kama anaijua dhamani yake sizani
 
Hilo neno ndo umechanganya. Biblia inasema "MSINYIMANE, ISIPOKUWA MMEPATANA ili mpate faragha ya kusali'
Sasa kwanza hatujapatana kusali, unaninyimaje? Hapo hata nikimla house girl ni poa tu maana umelianzisha wewe, bila utaratibu.
 
kweli kabisa ...mkuu
 
Yawezekana wapo wanawake wachache wanaowajali waume zao, mwanamume wa namna hiyo akichepuka sio fair kwa kweli. Lkn kundi kubwa la wanawake hawajali, ndo maana siku hizi michepuko ndo habari ya mjini.
Ndiyo mke anaweza fanya yote mema lakini dhamani yake isionekane mwishowe moyo nao huchoka
 
Mke unakuwa ushaongea nae kuhusu viwango vyake mchezoni kupungua. Anaahidi kujirekebisha ila at last unakuta kuwa hajirekebishi. Sasa mwanaume kulalamika jambo hilo hilo kila uchao manaake ndio nini. Unaamua kupotezea
Ndiyo maana siku mnafungishwa huanza utaishi naye kwa shida na raha, hawaanzi kwa raha na shida, mawasiliano ndiyo kitu muhimu
 
Hio theory naijua mbona tena kama kuna kiumbe rahisi kujua endapo kinachepuka basi ni mwanamke. Hanaga siri unajua tu maana mahaba yote huisha. Inabaki mazoea tu
Nani kwambia kama hujui basi kaa vizuri na mkeo mmoja alisemaje ukitoka huko ukirudi nyumbani ni mapambio kwa kwenda mbele baba unarudi unajua huyu si ndiye wakusalitiwa kumbe ngoma droo
 
Yani unanifundisha uvumilivu nyie hamjiheshimu ili iweje kwa taarifa yako wamama zetu walichepuka sana tu tena had kuzaa nje na ilikuwa siri sasa nyie hamtaki kujenga mahusiano yaliyo mema mnataka mubembelezwe dawa ni moja tu
Tena wamama wazamani walikuwa wa siri sana wengi walizaa nje ya ndoa na wababa hawakulijua hilo mpka mpaka wanakufa au wengi wamejua wakiwa watu wazima lakuamua hakuna
 
Ungekua mke wangu........
Ungefanya nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwezi kujua maana upo busy na michepuko kumjua mkeo kama anachepuka ni ngumu sana
 
Hapo mnapo jichanganya huna hisia nae omba talaka ukaolewe na ulie na hisia nae?
Hujiulizi kwa nini malaya ni mwanamke tu.
Hakuna kuomba talaka ni humo humo mmeishi miaka kibao uende wapi tena
 
Ishu sio kubembelezwa, ishu ni kuwa KE anapokuwa source ya tatizo inabidi ajirekebishe bila kukimbilia comfort ya third party (danga).Kutumia kama kichaka chake cha kulikimbia tatizo.
Unapoona kuna something wrong kwa mke ukiwa ni kichwa cha familia kaa chini muweke kitako mbona rahisi tu
 
Wangejua tunavyo pambana ili tuwatunze huu ujinga wangeacha.

Mume hakutoshi omba kuwachwa nenda kwa anae kutosha

wanatulazimisha kuua tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hakuna kupanik hapo usilopenda kufanyiwa, jaribu kutomfanyia mwenzio mwenzio
 
Yani imagine kutoka familia nzuri had ya watoto wasioeleweka with no good future
Ndiyo hapo sasa halafu mama sio rahisi kumuacha mwanae ateseke yeye awe anachepuka huko lakini upande wa pili nyumbani kuna watoto budget sh 5000 kwasiku kwa mchepuko 20000 kwa siku
 
Una sound too negative..hivi wakati wa uchumba hichi kibamia kama uliona hakikufai,ilikuaje ukaolewa na huyo mtu?..
Si ndiyo kaolewa nacho sasa ndiyo kimeanza kumletea za kuleta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…