Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kujichosha haswa maana hawabebeki unaweza usiwe hata na house girl kila kitu mfanyie lakini anakuacha na kwenda kuhangaika hukoLazima kudanga kwa manufaa na wanaume wenye hadhi ili mambo yaende kusema kuhangaika na mume eti kumpendezesha asichepuke huko nikujichosha bora kutafta tu hela by any means