Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Yaani badala ya kushiriki tendo... YEYE ANAGEUKA KUWA MLINZI AHAKIKISHE HAGUSWI SEHEMU FULANI.... Matokeo yake hafiki kileleni kisa hashiriki kikamilifu...Hawana masharti,wao wanaongozwa
hawaongozi,Maana unakuta mtu umemuoa
lakini unapangiwa masharti utadhani umeolewa wewe.
Jeshini,si jeshini,mgambo si mgambo.
ilimradi tu kuwepo tafrani. Mara usiniguse hapo
usinishike hivyo,nk.
Kwa beki tatu hakuna msalagambo wa namna hiyo
Wanawake badilikeni,wanaume sio watu wa maneno
ni watu wa matendo.
Tahadhari usimjaribu beki tatu utapotelea huko.
Kwani mm mwanamke hadi nishikiwe akili.Nyie wanawake mnaotolewa mapepo ndo mnashikiwa akili na kumezeshwa pumbaKumbe wewe unashikiwa akili hujui hata Bible unawasingizia walokole
Hahahah hayo majamaa yanayokimbia kitanda yatakuwa hayawezi shughuli basi inabidi yapangiwe kazi ingine. Huwa tunahakikisha kuwa gari imepaki ikiwa juu ya mawe tairi zote zimekaliwa na rim. Kama jamaa yako mzembe mwambie ajiongeze!Hamna bwana wewe hao wake zenu kaeni nao vizuri mbona waume wenzenu hukimbia vitanda mapema anazuga anafanyakazi kwenye mtandao kumbe anamkimbia mke [emoji2] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wana visa sana hao watu...Kisha ukianza kupanda na kushuka ilimradi kama kwenye SANLG ataanza kukutangaza umfikishi unampakaza tu wakati mtu mda wa kazi hajiongezi.Yaani badala ya kushiriki tendo... YEYE ANAGEUKA KUWA MLINZI AHAKIKISHE HAGUSWI SEHEMU FULANI.... Matokeo yake hafiki kileleni kisa hashiriki kikamilifu...
Ukiona naomba ujue mchepuko kazingua by the way unakuwa kujilazimisha tu,muhimu sana kuwa na Dada wa kazi nyumbaniNdo mana nacye uwanyima tukijifanya hatutaki
Hahahahaaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] wewe sio huyo ukitaka kuyapata saloon watu wanaongea machungu yao hatari nashangaa nyie mnalaum wanawakeHahahah hayo majamaa yanayokimbia kitanda yatakuwa hayawezi shughuli basi inabidi yapangiwe kazi ingine. Huwa tunahakikisha kuwa gari imepaki ikiwa juu ya mawe tairi zote zimekaliwa na rim. Kama jamaa yako mzembe mwambie ajiongeze!
Mambo ya kipumbavu haya...dah!Ndiyo hapo sasa mama naye akijua watoto wanapata wajomba wakuwanunulia chips hatari, ukiwa kichwa lazima uongoze sasa nyie majukumu yenu mnayakimbia kiwiliwili kinaendesha familia poa tu
Ngoma droo sawa lakini kumbuka refa ni mwanaume[emoji2] [emoji2] [emoji2] hamna chakijiba roho ngoma droo tu tunasawazisha matuta
Tatizo kubwa ni kuwa wao shughuri ya wao kufika kileleni, wametuachia wanaume kwa 100%... Yaani yeye anakuwa kama vile hayupo hapo mnapofikishana kwa kilele.....Wana visa sana hao watu...Kisha ukianza kupanda na kushuka ilimradi kama kwenye SANLG ataanza kukutangaza umfikishi unampakaza tu wakati mtu mda wa kazi hajiongezi.
Aroo, kumbe huwa mnakuwa mnatuweka kikaangoni huko!?Hahahahaaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] wewe sio huyo ukitaka kuyapata saloon watu wanaongea machungu yao hatari nashangaa nyie mnalaum wanawake
Hahahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli maisha ndiyo hayaHa ha ha cheka kidogo mama, maisha ndio haya haya!
Romance muhimu sana na inakuwaga tamu kama mwanamke anaitikia vizuri. Fasta tu anakuwa nyang'anyang'aTatizo kubwa ni kuwa wao shughuri ya wao kufika kileleni, wametuachia wanaume kwa 100%... Yaani yeye anakuwa kama vile hayupo hapo mnapofikishana kwa kilele.....
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] udunde mpaka uuwe kabisa [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hao nao ni toleo jipya,yes mpaka nijue nisipojua ni mwendo wa kudunda tu
Embu kakaeni na wake /wapenzi wenu achane kuchepuka hovyo sio vizuri [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wana visa sana hao watu...Kisha ukianza kupanda na kushuka ilimradi kama kwenye SANLG ataanza kukutangaza umfikishi unampakaza tu wakati mtu mda wa kazi hajiongezi.
Sio kudunda ya kupiga,ni kupeta tu maana sijui,nikikufuma unasepa sina mda wa kupiga[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] udunde mpaka uuwe kabisa [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mpaka ugundue kuna kazi sana watu wana akili ya ziada balaaSio kudunda ya kupiga,ni kupeta tu maana sijui,nikikufuma unasepa sina mda wa kupiga
Watu wana machungu na tatizo nyie hamkai na wake zenu kujadili mapenzi yenu mpo buys na michepuko kama kabadilika kaa chini muulize mtu mzima na akili zake lazima akusikilizeAroo, kumbe huwa mnakuwa mnatuweka kikaangoni huko!?
Ndoa nyingi mawasiliano hakuna kabisa kila mtu anajaza yake moyoniMambo ya kipumbavu haya...dah!
Kuchepuka sio sifa na binafsi sichepuki ila changamoto za wanawake zinaweza fanya mtu ukaanza kuchepuka. Nilitongoza mara moja ili nianze mahusiano na mambo yote mpaka kujenga family. Ila ikifikia stage kila nikitaka K nianze kutongoza upya hilo limekaaje wakati mi ni faza inabidi nijilie vyangu bila kokoro!Embu kakaeni na wake /wapenzi wenu achane kuchepuka hovyo sio vizuri [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]