Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa mawasiliano yapo ila mkianza michezo ya bonyeza nyota ili kuvua chupi hii...hapo ndipo tunapoanza kutafutana ubaya!Ndoa nyingi mawasiliano hakuna kabisa kila mtu anajaza yake moyoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mawasiliano yapo ila mkianza michezo ya bonyeza nyota ili kuvua chupi hii...hapo ndipo tunapoanza kutafutana ubaya!Ndoa nyingi mawasiliano hakuna kabisa kila mtu anajaza yake moyoni
Mimi nisipogundua hakuna shida lakini nikiamua naweza sana ila ni nonsense kufuatilia mtu nzima nimemkuta na meno 36 naanzaje,kikubwa chepuka ila jifiche kweli kweli maana refa ni mmMpaka ugundue kuna kazi sana watu wana akili ya ziada balaa
Hahhaaa chaliii..Hahahaah mara moja tu Yaani kimoko tu unaambiwa "Baba naomba Mama akiondoka niongee na wewe" mmmghhhh
Hahahaaa hizi ndoa hatari yaani kila mtu anapata mtu watabia tofauti ili tuchukuliane mkioana wote tabia nzuri hawa kina nanihii wakioana wenyewe si balaa Mungu atusaidiye tu jamani, mwenzio akikengeuka unamuombeaKuchepuka sio sifa na binafsi sichepuki ila changamoto za wanawake zinaweza fanya mtu ukaanza kuchepuka. Nilitongoza mara moja ili nianze mahusiano na mambo yote mpaka kujenga family. Ila ikifikia stage kila nikitaka K nianze kutongoza upya hilo limekaaje wakati mi ni faza inabidi nijilie vyangu bila kokoro!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii jamani si una mbembeleza jamani wakati mpo wawili mbona vibabu vinabembeza sana wake zao?Sasa mawasiliano yapo ila mkianza michezo ya bonyeza nyota ili kuvua chupi hii...hapo ndipo tunapoanza kutafutana ubaya!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] haya sawaMimi nisipogundua hakuna shida lakini nikiamua naweza sana ila ni nonsense kufuatilia mtu nzima nimemkuta na meno 36 naanzaje,kikubwa chepuka ila jifiche kweli kweli maana refa ni mm
Dahh watu mnapovu hatari.Mi nilimfyatulia jikoni wakati wife kalaza matako yke seblen anasubili ugali. Pumbavu cpendagi ujinga mm
Hahahahah jamaa fala sanaDahh watu mnapovu hatari.
Wanaume mbona hatuna tatizo na hilo?![emoji23] ukitafuta housegirl natafunwa na houseboy..easy
Kumbe nawewe umeona eeeeHahahahah jamaa fala sana
Hahahahaa....hii ni kwa wake waliowengi....yaani unapewa dyudyu kama unauziwa bangi mweeeMara usininyonye Kissimmee unanipaka mimate. Maliza haraka nilale. Usinishike Chuchu zinauma...kumbe kuna jitu lilikuwa linazinyonya mchana kutwa.
Kweli mkuu...mie nilijua ni wangu tuu....25 yrs ktk ndoa hajawahi omba dyuydyu....Kuna mwanamke wa kibongo anaejua kuomba sex sasa, wote si wanategeaga mpaka mwanaume aanzishe.
Haaaaa kiluvya acha mambo zako 25yrs no baba tukapumzike, lakini action si unaziona jamani mpaka aseme mmmmmmKweli mkuu...mie nilijua ni wangu tuu....25 yrs ktk ndoa hajawahi omba dyuydyu....
Huo ubavu huna hata ufanyeje kuna mwanaume mkewe kamnyoosha had namhurumia aisee mwanamke anahongwa had gari, na amegoma kumzaliaSasa mie si ndio nimekuoa, naombaje divorce? Mi ndo natoa divorce aisee
Hajaaaaaa mtoto mwingine anafanana na mamake copy and paste sasa hapo unafanyaje unafikiri [emoji2] [emoji2] [emoji2] omba yasikukute ndugu yanguWasiojitambua ndo watalea sana wasio wao,kwangu sharti mtoto afanane na Mimi sitanii ndivyo navyomwambia wife kinyume na hapo amtafute baba yake.
Nikichelewa kugundua ndo kudumu kwa ndoa,na lazima ujifiche sana maana kuolewa kwako mwanamke ni dili,pili kula kwako kunanitegemea mm
Sasa na sisi si ndo tunatfta kidumu lingine na kukizalia kabisa tena tunakua nao had watano and we have nothing to loose or feel jealous coz sisi huhamisha hisia hata wivu una kuwa hamnaUkilijua hilo tuache tuendelee kutafuna mahouse girl,mngekuwa hamjali msingekuwa mnalialia hapa kujifariji
Hizo hizo Mali ndo fimbo zetu wanaume thus why hatuoni shida kuwabadilisha ilimradi pesa ipo ila nyie mnadepreciate daily
Sisi tunajiamini kabisa and as nature sisi hata tukihudhuria ibada tunatoa ya mioyoni sasa nyie mwajifanya vidume mwachepuka, huku mke akichepuka mnazidisha mawazo mwishowe mwashikwa na pressure, Mara magonjwa yra moyo mwisho MNA R. I. PKwani mm mwanamke hadi nishikiwe akili.Nyie wanawake mnaotolewa mapepo ndo mnashikiwa akili na kumezeshwa pumba
Si ndo umpe vzuri tena mi mdada napenda ujpozee huku mie papuchi naihifadhi kwa baby wangu anayenifikisha kileleniUkiona naomba ujue mchepuko kazingua by the way unakuwa kujilazimisha tu,muhimu sana kuwa na Dada wa kazi nyumbani
Hamna cha refa hapo tuna care feelings zetu nyie mfe mwenyewe huko kwani sie hatujaliNgoma droo sawa lakini kumbuka refa ni mwanaume