Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Ndoa nyingi mawasiliano hakuna kabisa kila mtu anajaza yake moyoni
Sasa mawasiliano yapo ila mkianza michezo ya bonyeza nyota ili kuvua chupi hii...hapo ndipo tunapoanza kutafutana ubaya!
 
Mpaka ugundue kuna kazi sana watu wana akili ya ziada balaa
Mimi nisipogundua hakuna shida lakini nikiamua naweza sana ila ni nonsense kufuatilia mtu nzima nimemkuta na meno 36 naanzaje,kikubwa chepuka ila jifiche kweli kweli maana refa ni mm
 
Kuchepuka sio sifa na binafsi sichepuki ila changamoto za wanawake zinaweza fanya mtu ukaanza kuchepuka. Nilitongoza mara moja ili nianze mahusiano na mambo yote mpaka kujenga family. Ila ikifikia stage kila nikitaka K nianze kutongoza upya hilo limekaaje wakati mi ni faza inabidi nijilie vyangu bila kokoro!
Hahahaaa hizi ndoa hatari yaani kila mtu anapata mtu watabia tofauti ili tuchukuliane mkioana wote tabia nzuri hawa kina nanihii wakioana wenyewe si balaa Mungu atusaidiye tu jamani, mwenzio akikengeuka unamuombea
 
Sasa mawasiliano yapo ila mkianza michezo ya bonyeza nyota ili kuvua chupi hii...hapo ndipo tunapoanza kutafutana ubaya!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii jamani si una mbembeleza jamani wakati mpo wawili mbona vibabu vinabembeza sana wake zao?
 
Mimi nisipogundua hakuna shida lakini nikiamua naweza sana ila ni nonsense kufuatilia mtu nzima nimemkuta na meno 36 naanzaje,kikubwa chepuka ila jifiche kweli kweli maana refa ni mm
[emoji28] [emoji28] [emoji28] haya sawa
 
Mara usininyonye Kissimmee unanipaka mimate. Maliza haraka nilale. Usinishike Chuchu zinauma...kumbe kuna jitu lilikuwa linazinyonya mchana kutwa.
Hahahahaa....hii ni kwa wake waliowengi....yaani unapewa dyudyu kama unauziwa bangi mweee
 
Kweli mkuu...mie nilijua ni wangu tuu....25 yrs ktk ndoa hajawahi omba dyuydyu....
Haaaaa kiluvya acha mambo zako 25yrs no baba tukapumzike, lakini action si unaziona jamani mpaka aseme mmmmmm
 
Sasa mie si ndio nimekuoa, naombaje divorce? Mi ndo natoa divorce aisee
Huo ubavu huna hata ufanyeje kuna mwanaume mkewe kamnyoosha had namhurumia aisee mwanamke anahongwa had gari, na amegoma kumzalia
 
Wasiojitambua ndo watalea sana wasio wao,kwangu sharti mtoto afanane na Mimi sitanii ndivyo navyomwambia wife kinyume na hapo amtafute baba yake.
Nikichelewa kugundua ndo kudumu kwa ndoa,na lazima ujifiche sana maana kuolewa kwako mwanamke ni dili,pili kula kwako kunanitegemea mm
Hajaaaaaa mtoto mwingine anafanana na mamake copy and paste sasa hapo unafanyaje unafikiri [emoji2] [emoji2] [emoji2] omba yasikukute ndugu yangu
 
Ukilijua hilo tuache tuendelee kutafuna mahouse girl,mngekuwa hamjali msingekuwa mnalialia hapa kujifariji
Hizo hizo Mali ndo fimbo zetu wanaume thus why hatuoni shida kuwabadilisha ilimradi pesa ipo ila nyie mnadepreciate daily
Sasa na sisi si ndo tunatfta kidumu lingine na kukizalia kabisa tena tunakua nao had watano and we have nothing to loose or feel jealous coz sisi huhamisha hisia hata wivu una kuwa hamna
 
Kwani mm mwanamke hadi nishikiwe akili.Nyie wanawake mnaotolewa mapepo ndo mnashikiwa akili na kumezeshwa pumba
Sisi tunajiamini kabisa and as nature sisi hata tukihudhuria ibada tunatoa ya mioyoni sasa nyie mwajifanya vidume mwachepuka, huku mke akichepuka mnazidisha mawazo mwishowe mwashikwa na pressure, Mara magonjwa yra moyo mwisho MNA R. I. P
 
Ukiona naomba ujue mchepuko kazingua by the way unakuwa kujilazimisha tu,muhimu sana kuwa na Dada wa kazi nyumbani
Si ndo umpe vzuri tena mi mdada napenda ujpozee huku mie papuchi naihifadhi kwa baby wangu anayenifikisha kileleni
 
Back
Top Bottom