Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Yaani badala ya kushiriki tendo... YEYE ANAGEUKA KUWA MLINZI AHAKIKISHE HAGUSWI SEHEMU FULANI.... Matokeo yake hafiki kileleni kisa hashiriki kikamilifu...Hawana masharti,wao wanaongozwa
hawaongozi,Maana unakuta mtu umemuoa
lakini unapangiwa masharti utadhani umeolewa wewe.
Jeshini,si jeshini,mgambo si mgambo.
ilimradi tu kuwepo tafrani. Mara usiniguse hapo
usinishike hivyo,nk.
Kwa beki tatu hakuna msalagambo wa namna hiyo
Wanawake badilikeni,wanaume sio watu wa maneno
ni watu wa matendo.
Tahadhari usimjaribu beki tatu utapotelea huko.