Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Ada watakomaje? Si ndio umlipie sasa si ndio mke mdogo huyo
Alipe tu sasa kama mtamu unafaidi kwanini asibebe majukumu zaidi ya hapo ni udhalilishaji na kumwaribia tu future mtoto wawatu
 
Mimi sio pumbavu ila nyie waume ndo huanza kuharibu nyumba ujue mapenzi ni hisia wewe unanikwanza hujaniandaa unataka ngono na nyie wanaume huwa rahisi kusahau maudhi yenu kwetu nyege zikiwapanda unataka nikupe tu si bora uende tu kwa huyo beki Tatu maana ndo solution na Mimi nitafta mwingine maana mume kuchepuka hakupendi sasa ili Ku neutralize hali dawa nikutafta na wewe wakukupunguzia machungu na nyie mubaki na beki Tatu. Hafu nyie mwataka kuchepuka wake zenu wakichepuka mwawa wakali. Mi baby wangu akichepuka mi ni date marafiki zake hadharani tuone[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unajua ishu unayokumbana nayo wewe yaweza kuwa tofauti kidogo. Pengine mumeo ni mtu wa panic za kiduanzi na hapendi kujishusha pale anapokosea ila most cases wanawake huwa ni wakorofi in nature.

Mkipishana kidogo mume anajisusisha anamuuliza nini tatizo ke anajibu hamna kitu ila kakununia mwisho wa siku unaamua kumu ignore tu. Sasa mtu kama huyo unaanzaje kumuandaa kwenye sex? Cycle ya poor communication ndio inazaa kufa kwa hisia na usaliti mwishoni.

Kuhusu kuchepuka na bestfriend wa mumeo huo ni umalaya na nachoweza kukushauri ni kuwa andaa mazingira ya utapoenda baada ya kupigwa red card na mume maana haikwepeki.
 
Mkuu upo sahihi hata kama anataka dushe anasubiri mpaka mme aanze, sasa kama si ujinga ni nini?
Huyo ndiyo mwanamke hata kama haupo unasubiliwa sio akijisikia yeyote anaruka naye
 
Wanawake ni wavivu sana hadi inaboa, yani hasa ukishamuoa ndio anaona kamaliza kazi hajiongezi kwenye sekta nyeti hapo vitaanza visingizio mara kuchoka...mara kazi nyingi na unaweza chunguza anakusumbua ila deepdown kumbe kuna kenge anampaga penzi free huko nje.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji2] kumbe ngoma droo anakuwa kamaliza huko kama ni hivyo hakuna shida ni kukomoana tu
 
Sio wangu tu man, anawakilisha wengi sana wa siku hizi wazembe. Ila mie nimebadili muundo huwa siombi nikijiskia nachukua tu kibabe no democracy anaishia kujichekesha tu mie nala vyangu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] unatisha
 
Ujue wanawake tumeumbwa kuanza kushtukia nyie wanaume ndo hufanya wanawake wawachoke wewe watoka na beki tati wajua siri kumbe yeye anajua automatic upendo unakufa anajitaftia wake wewe unabaki tu baba mwenye mji. Siku wanaume mkajiheshimu hamna mwanamke anayeweza kuwa mjeuri bora kumuelekeza kwa upendo kuchepuka sio solution
Kabisa yani Hawa wanaume wanatuonaga wanawake mazwazwaaa eti hatujui na kweli mtu anajisifia kuwa anachepuka na beki tatu 3 years alafu mke hajui looh kalagha bao wanawake tuna IQ kubwa kwenye kufikiria haya mambo na wala huwa hatuhitaji msaada wa technology cjui mobile tracker kama wanaume walivyo
 
Mkuu hao viumbe achana nao kabisa. Mwanzoni mwa ndoa wanakuwa wana bidii sana tena utafaidi tendo mpaka raha. Ila wakianza kuzoea maisha ya ndoa utajuta kuzaliwa. Hii ndio maana H/girls wanatumika sana. Wana-Saikolojia wamethibitisha ili mwanamme akili yake iwe fresh lazima afanye mapenzi yaliyoshiba. Pia wakaongeza mtu aliyefanya mapenzi usiku wa kuamkia siku ya INTERVIEW anakuwa na utuivu sana na kujibu maswali kwa umakini zaidi.
Halafu hamjuagi kama mwanamke halizishwi hupoteza hamu yakufanya tendo la ndoa, jeuri lazima ubongo hujijenga hata kama akinipanda ni yaleyale hakuna jipya vifo vya mende tu ndivyo mnaongoza na mabeki 3 wenu
 
Sasa nyie mchepuke hafu mje mpewe papuchi tena simhamie tu huko mchepukoni ukijiheshimu lazima mkeo hakuheshimu ila nyie mnaonaga wake zenu ni wajinga hawajui kinachoendelea.
Ujue MTU akikosea.mwelekeze kwa upendo arudi mstarini sasa nyie chepukeni ufikiri urudi kwa mkeo atakuacha salama matokeo yake mnashindwa kujenga familia imara
Sasa cariha mie nshakwambia kwamba nikihitaji naomba kusiwe na excuses hali hii inaniboa unatoa gemu week moja ikiisha umeshasahau unaanza tena vikwazo ssa huko kurekebishana itakuwa hadi lini?

Mume kuchepuka sio kama anapenda yani ila mazingira ndio yanaforce. Mwanaume nimeona michirizi ya utamu ukiwa ndani ya kanga nishatamani tayari nimetaka huduma unakuta mtu anakukatili. Oh, si usubiri mpaka usiku bhana ntakupa we huoni ndio naenda kazini sahivi.
 
Wanaume wengi ni walalamishi ili kutafta kisingizio kuchepuka ujue kihisia wanawake huwa zinakuwa mbali inahtaji kusali na upendo sasa nyie ukute mnawaudhi yeye yuko kimya kachoka, pia huko kuwa kukavu madawa ya uzazi nayo yachangia, ukiona unamchoka mkeo humvumilii ujue hukumpenda vzuri, mbona sie huwavumilia na vibamia vyenu Ku papu hamjui, nyie wanaume jiheshimu aisee namkukue
Hata kama si kibamia lakini ugoi goi wao wanavumiliwa tu lakini wao sasa kutoa siri za wake zao kwa mabeki 3 mke anazarauliwa tu
 
Huyo anayeitwa beki 3 ni binadamu kama wewe mama mwenye nyumba, anapenda na kupendwa. Matendo ya akina mama baada ya kuwepo huyo so called beki 3 yanakuwa kama amepata msaidie kwa majukumu yake ya msingi(mke). Beki 3 akifanya vizuri ndipo watu wa nje wanajua, akifanya vibaya hatuoni matangazo. Achana na topic hii ni more complicated.
 
Alipe tu sasa kama mtamu unafaidi kwanini asibebe majukumu zaidi ya hapo ni udhalilishaji na kumwaribia tu future mtoto wawatu
Hahaha umenikumbusha niliwahi ujua mchepuko wa Mr nilikua nakwambia ahakikishe anamchuna vizuri na yule binti alikua makini alikua anaomba ela hadi Mr akawa anatamani kabisa kusema lakin ataanzaje kuniambia na mim nlikua namwangalia tu ila sjui aliona matumizi yamezidi naona Mr akamwacha huyu bint
 
Hafu ndoa ni zaidi ya Ku do sasa ka mnawaza ngono mda wote maendeleo mnafikiria SAA ngapi maana ka ngono Ku solve kumewashinda ndo mambo mengine.
Maendeleo watawaza saangapi na mwanamke akimpata wakumsikiliza wanazaa watoto baba tofauti yeye anakenua tu mimeno isiyo pigwa hata mswaki vizuri
 
Back
Top Bottom