Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Na ndiyo maana akili zao hazipo sawa, michepuko inawalisha vichafu balaa wangejua hata wangetulia na wake zao, kuna mbaba alikuwa kwa mchepuko na alilala huko katoka kule kaenda kazini , anarudi kwake kafa hata haijulikani sababu ya kifo kalishwa huko au mke kamaliza mchezo basi kashatangulizaSio tu stress imagine awe na michepuko mitano yetu airidhishe, atafte hela kwa shida yote iwe INA mpa mawazo,ulaji mubovu bado hao michepuko hawajampa malibwata ya kwenye papuchi kwanini asife mapema aache papuchi ya mkewe ikiliwa na wajanja