Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Nachokiona kwa washuhudiaji wengi hapa, hakuna anayemfahamu Mungu, wala kuwa na hofu ya Mungu, ukileta ukimwi ndani ni kitu kibaya sana.
Hata maandiko yanasema ndoa naiheshimiwe na watu wote sasa nyie wanaume kuchepuka ni halali hafu, jinsi mwanamke/ mwanaume anavokuwa na wengi anajikaribia maroho machafu uchafu.lazima ufe migogoro nakupoteza dira, naukilinganisha ndoa ya watu wanaojiheshimu huwa na maendeleo, ila ile mwanaume umalaya na michepuko huwa maendeleo zero
 
Huwa inafika wakati natamani labda nisingesoma maana upeo wangu ni mkubwa hakuna sehemu Mr akacheat nisijue hadi najichukia maana stress zingine za hovyo tu
Una mume mburura tu. Njoo kwangu coz kwa exoeriance yangu toka nimeanza kula beki tatu. Mapenzi na wife yameongezeka, na nlikuwa nachelewa kurudi home tunagombana na wife, sms zilikuwa nyingi kwenye simu ila baada ya gegedo la beki tatu no sms, saa kumi tu nisharudi home, milo yote nakula nyumbani. Kamfukuza saiz najipanga kivingine
 
Hivi nyie wanawake mm sitaacha kucheat, maana mfano mm sijagegeda mke since december sababu naambia sina ham, hivi nikichepuka nani atanilaum hapa. Acha nijilie vicheche kwa raha zangu. Kwa nn nipate stress bana. Na mm asikwambia mtu K naipenda yaan huwa natamani anikatie niweke kwenye boxer kabisa
 
Kwa MTU kama wewe mwanaume wako lazima achepuke aisee hata ningekua Mimi... Maana si kulalama huko. Nani kakwambia mwanaume akilala na beki 3 inamaanisha we hufai? Ungekua hufai usingeolewa kabisa ukaishia kudanga. Tatizo wanawake hamjiamini kabisa kwanye ndoa zenu.. Tunawapenda sana wake zetu Lakini mnalalamika sana wengine hadi mnaanika madhaifu ya wanaume zenu hata huku kwenye media. Hata mfanyiwe nini hamriziki hata siku moja isipokua wachache. Ili kuondokana na stress ndio mana Mwenyezi Mungu akaruhusu tuoe wake zaidi ya mmoja. Huyu akikupa karaha unaenda kwa Huyu alotulia siku hiyo. Sasa kwa kua kuoa kunakua kugumu ndio mana wengine wanajisevia kwa beki 3 na wengineo. Wanawake mna maudhi sana acha tu...
Sasa nyie mchepuke sisi tutulie tu tusitafte ya size tofauti nakukojozwa tutulie tu ili iweje ili kuleta equilibrium lazima tutoke tu ndo mana ikifika kwenu tunatulia affection hamna natunajua kabisa mna michepuko
 
Japokuwa mie sio mhanga wa vibamia lkn kwa wale wenye navyo pamoja na kuvibeza vibamia lkn mbona vinawazalisha?
Wewe vinazalisha hafatilii takwimu za mkemia mkuu kuwa zaidi ya asilimia 50% wanalea watoto wasio wao
 
Maana wanaume huwa tunachepuka si kwamba tunawachukia wake zetu. Km mm mke wangu nampenda sana tu ila nachepuka kumsaidia kumpunguzia matatizo ya mgegedo kila siku
 
Dah cariha mumeo inaonekana anakuzingua sana wengine tuna majanga ila we naona unahasira kinoma yani hahahahah imenibidi nicheke tu sasa dah hahahaha pole sana bibie
Sio kuzingua mi ka mwanamke nasema ukweli ambao huwa tunaongea wanawake tukiwa pekee had kupeleka wenzetu sehemu ya kuwafanya muwe wajinga
 
Una mume mburura tu. Njoo kwangu coz kwa exoeriance yangu toka nimeanza kula beki tatu. Mapenzi na wife yameongezeka, na nlikuwa nachelewa kurudi home tunagombana na wife, sms zilikuwa nyingi kwenye simu ila baada ya gegedo la beki tatu no sms, saa kumi tu nisharudi home, milo yote nakula nyumbani. Kamfukuza saiz najipanga kivingine
Hahaha mkuu seems uko vizuri kwenye uchepukaji ila huwezi amini ningekubamba tu
 
Maana wanaume huwa tunachepuka si kwamba tunawachukia wake zetu. Km mm mke wangu nampenda sana tu ila nachepuka kumsaidia kumpunguzia matatizo ya mgegedo kila siku
Na sisi kuchepuka kufata mengi yaku cover madhaifu yenu tena uhamishia upendo kwa michepuko
 
Sasa nyie mchepuke sisi tutulie tu tusitafte ya size tofauti nakukojozwa tutulie tu ili iweje ili kuleta equilibrium lazima tutoke tu ndo mana ikifika kwenu tunatulia affection hamna natunajua kabisa mna michepuko
Wakati mwingine mnahisi tu kwakua manaona matangazo huko kwenye mitandao kwamba mwanaume yoyote lazima achepuke wakati si kweli wengine hawachepuki. Hisia zenu ni kama mnatengeneza uchepukaji wa waume zenu. Pia life style maneno maneno yasiyo na msingi. Mara hivi Mara vile lazima unadisturb Moyo wa Mme wako. Hatupendi kabisa kelele zenu na malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu. Unaweza kumfanya mumeo asiende kuchepuka kabisa wala asiwaze
 
Mali yamtu. Mosi, mm ni mpole sana, pili, mm mtiifu sana kwa mke wangu, na huwa sifsnyi kitu bila.kujulisha, and nipo open sana na ninsubmit mshahara wote yeye ndo anaupangia matumizi. Ila sasa mm naishi kwa dili zangu maana mm ni engineer nina michongo kibao. Ambayo inanisaidia kwa vihela vidogo vidogo vya mafuta ya gari na kuweka heshima. Sinywi bia, narudi home mapema saa kumi tu. So nafanya yangu muda wa kazi
 
Wakati mwingine mnahisi tu kwakua manaona matangazo huko kwenye mitandao kwamba mwanaume yoyote lazima achepuke wakati si kweli wengine hawachepuki. Hisia zenu ni kama mnatengeneza uchepukaji wa waume zenu. Pia life style maneno maneno yasiyo na msingi. Mara hivi Mara vile lazima unadisturb Moyo wa Mme wako. Hatupendi kabisa kelele zenu na malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu. Unaweza kumfanya mumeo asiende kuchepuka kabisa wala asiwaze
Wewe wanaume wote ni walewale tena bora vijana sio Malaya ka waliooa, nyie mliooa ndo mnaongoza kutongoza tongoza hovyo hamjali hata afya, mkiona tu mrembo mwenye kalio hao, yani mi mijianaume yenye wake ndo hunitongoza sasa hyo yakusema mitandaoni si kweli.
Pia tatizo LA mwanamke kuongea hovyo sikumkalisha chini nakumwambia acha hivi.mi sipendi hafu pia kuhudhuria ibada lazima ujifunze tu. Nyie wanaume ndo hufanya wake zenu waanze maovu
 
Kwanza kupanda ndege bure Leo nakupiga pic halaf unarud kupiga beki 3
 
Yani nyie mtukongoroshe kwa kuwazalia bado mtuone hatufai, miili yetu tuharibu shape zetu na nyonyo zetu kuwanyonyesha nyie na midevu yenu ka Osama kuwanyonyesha, na wanetu, tuwapikie tuwafanyie yote bado mtuone hatufai, pia sikuhizi pia wanawake nao hufanya kazi mbona tena wengine wamewazidi wanaume vipato
Hiyo kweli wananyonya kuzidi hata watoto wao, kisha yakilala eti miziwa yenyewe ndala tunataka saa6 wakati naye kachangia yalale tutafika tu wenye stress zao watabaki njiani
 
Sio hufai mama, hujitumii katika nafasi yako...Kazi yako we ni kunipikia na kunipa mambo sasa iweje nianze kudai papuchi kwa maombi na mizinguo mingi.!? We toa mzigo bila gozi gozi uone kama ntageuka kushoto na kulia. Pika mambo matamu uone! Tatizo kinawaponza kiburi.
Kuna dada alikuwa analia mme kafika kapokewa vizuri kala kashiba sms toka kwa kahaba nipo free tunaweza onana kaondoka kaenda huko wakati hawana ugomvi na mkewe unategemea nini hapo utakuta mke mrembo anaweza bebwa na mtu yeyote anakuvumilia na ugoigoi wako naye akichepuka utasema nini alipoulizwa maneno machafu kwa mkewe bila hata kutumia busara yeyote
 
Back
Top Bottom