cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hata maandiko yanasema ndoa naiheshimiwe na watu wote sasa nyie wanaume kuchepuka ni halali hafu, jinsi mwanamke/ mwanaume anavokuwa na wengi anajikaribia maroho machafu uchafu.lazima ufe migogoro nakupoteza dira, naukilinganisha ndoa ya watu wanaojiheshimu huwa na maendeleo, ila ile mwanaume umalaya na michepuko huwa maendeleo zeroNachokiona kwa washuhudiaji wengi hapa, hakuna anayemfahamu Mungu, wala kuwa na hofu ya Mungu, ukileta ukimwi ndani ni kitu kibaya sana.