Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Nikimfuma kitaeleweka hapo hapoSawa mdada, vipi ushawahi kumfuma Baba Watoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikimfuma kitaeleweka hapo hapoSawa mdada, vipi ushawahi kumfuma Baba Watoto?
Ni ubakaji kama ubakaji tuWewe mkeo amekwambia hajisikii wewe unamfanya kinguvu huko sikumuonea mwenzako sasa nini maana ya mapenzi sasa, hapo hata haihitaji elimu kubwa kujua ni ubakaji
Kuna zingine zinaua, hasa kama mama ni mchepukaji mzoefu.DNA za mkemia huwa zinalinda ndoa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jeshi la mtu mmoja carihaChombo gani hicho kipya chakupata mama hata nyie vibamia husinyaa
Muombee tuDah cariha mumeo inaonekana anakuzingua sana wengine tuna majanga ila we naona unahasira kinoma yani hahahahah imenibidi nicheke tu sasa dah hahahaha pole sana bibie
Ndiyo siku akijua mnapishana migongo tuMkuu wee hujui tu, wake wanazingua sana sometimes. Dawa yao ni beki 3 hadi kieleweke!
Mme ndiyo huyu hongera sana, ukianza na mmoja beki3 itakuwa kila anayekuja unamtamani waume mmebaki wachache sanaMm beki tatu yupo sana, na sio kwamba ni wa ajabu, lkn kitu kimoja kinachonisaidia, Nimejikita ktk imani ya hali ya juu ya Kimungu....hvyo naamin kabisa nikimgusa ndoa yangu sio kitu tena....ni dhambi....najua maana ya ndoa iliyounganishwa kiroho madhabahuni ....kuingizwa rohoni sio mchezo, ukizini, utahitaji uponyaji wa hali ya juu sana kurudisha ndoa yako mahali salama.....In short Nimeokoka, nafurahia sana ndoa yangu, kuliko tamaa.
Watamjua sangapi Mungu sana sana utasikia sitaki mke mlokole kutwa kuchwa wanawaza uzinzi tu ndiyo hao wakipata magonjwa wanaanza kubukia dawa pekeyaoNachokiona kwa washuhudiaji wengi hapa, hakuna anayemfahamu Mungu, wala kuwa na hofu ya Mungu, ukileta ukimwi ndani ni kitu kibaya sana.
Na mm nipo kwenye wachache usinisahau...Mme ndiyo huyu hongera sana, ukianza na mmoja beki3 itakuwa kila anayekuja unamtamani waume mmebaki wachache sana
ni kweli ndiyo maana some time unaweza ukaona ukimwiumekula nyumba nzima unajiuliza kwa ninkumbe house girl na house boy wameshafanya yao.Tatizo la mabeki tatu sio wachoyo.
Kuna mmoja nikiwa sekondary nilipiga mimi,binamu yangu, mjomba na mwisho nikastuka mzee nae kapiga.
Hawa viumbe ni hatari sana tukiwatumia vibaya kama anayo maradhi anaweza maliza familia zima
Tusishabikie ujinga.ukimwi upo pia homa ya inni
Ndiyo hapo mpatane kama kuna shida muitatue sio kuichukulia ndiyo fulusa ya kwenda kuchepukaHilo neno ndo umechanganya. Biblia inasema "MSINYIMANE, ISIPOKUWA MMEPATANA ili mpate faragha ya kusali'
Sasa kwanza hatujapatana kusali, unaninyimaje? Hapo hata nikimla house girl ni poa tu maana umelianzisha wewe, bila utaratibu.
Saangapi yatakuja kuumizana tuNa wengi huwa wanawachezea michepuko kwa vidole tu nakuchunwa sasa imagine una limwanaume linaonga hovyo maendeleo yatakuja vipi mama usipo tafta means nyingine za maendeleo
Sasa wewe badala ya kufuatilia tatizo nini unaishia kwenye vicheche sizani kama unaelewa maana ya ndoa nijuavyo ukiona hivyo inabidi ufanye uchunguzi huyu kunani yupo hivi wakati mwanzo hakuwa hivi haya hongera kwa fungu n ulilochaguaHivi nyie wanawake mm sitaacha kucheat, maana mfano mm sijagegeda mke since december sababu naambia sina ham, hivi nikichepuka nani atanilaum hapa. Acha nijilie vicheche kwa raha zangu. Kwa nn nipate stress bana. Na mm asikwambia mtu K naipenda yaan huwa natamani anikatie niweke kwenye boxer kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hilo jina lako la jini mkuu ndiyo yanakufuata majiniNikikukamata kinaota aisee
Tafuta chanzo kuchepuka sio utapata ya kupata huko unaweza kuwa hujijui kumbe mpo 3 bila kujua wewe usizani kwenda huko ndiyo kumaliza tatizoMaana wanaume huwa tunachepuka si kwamba tunawachukia wake zetu. Km mm mke wangu nampenda sana tu ila nachepuka kumsaidia kumpunguzia matatizo ya mgegedo kila siku
Ukiyafwatilia utayajua maana yapo. Ukiyajua yatakuumiza. Tafakari chukua hatuaHuwa inafika wakati natamani labda nisingesoma maana upeo wangu ni mkubwa hakuna sehemu Mr akacheat nisijue hadi najichukia maana stress zingine za hovyo tu
Mengine unayajua tu effortlessUkiyafwatilia utayajua maana yapo. Ukiyajua yatakuumiza. Tafakari chukua hatua
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hongera sana kumbe nawe umo humo hahahaaaaNa mm nipo kwenye wachache usinisahau...