Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Kuna dada alikuwa analia mme kafika kapokewa vizuri kala kashiba sms toka kwa kahaba nipo free tunaweza onana kaondoka kaenda huko wakati hawana ugomvi na mkewe unategemea nini hapo utakuta mke mrembo anaweza bebwa na mtu yeyote anakuvumilia na ugoigoi wako naye akichepuka utasema nini alipoulizwa maneno machafu kwa mkewe bila hata kutumia busara yeyote
Kuchepuka ruksa ila usifumwe,maana siwezi kulisha,nimekutolea Mali afu uchepuke nijue hapo unatembea tu,,hamu ya kumla mwanamke inakata kama kiu vile
 
Hata maandiko yanasema ndoa naiheshimiwe na watu wote sasa nyie wanaume kuchepuka ni halali hafu, jinsi mwanamke/ mwanaume anavokuwa na wengi anajikaribia maroho machafu uchafu.lazima ufe migogoro nakupoteza dira, naukilinganisha ndoa ya watu wanaojiheshimu huwa na maendeleo, ila ile mwanaume umalaya na michepuko huwa maendeleo zero
Hadithi za makanisa ya kilokole mlioaminishwa na baba mchungaji
 
Wewe wanaume wote ni walewale tena bora vijana sio Malaya ka waliooa, nyie mliooa ndo mnaongoza kutongoza tongoza hovyo hamjali hata afya, mkiona tu mrembo mwenye kalio hao, yani mi mijianaume yenye wake ndo hunitongoza sasa hyo yakusema mitandaoni si kweli.
Pia tatizo LA mwanamke kuongea hovyo sikumkalisha chini nakumwambia acha hivi.mi sipendi hafu pia kuhudhuria ibada lazima ujifunze tu. Nyie wanaume ndo hufanya wake zenu waanze maovu
Vijana hawajiamini na hawana pesa,aliyeoa anakuwa ameikinai papuchi ya mkewe anataka radha mpya tu.Tatizo wanawake wanatafsiri upendo kwa kutiana wakati wanaume ni tofauti, k kwa mwanaume ni kutolea nyege tu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nilipata sikia mama analalamika yaani mme wangu nikuingia tuvnakutoka lakini michepuko kila kona, akaambiwa wale wanafuata pesa sio penzi wanalizishwa na wengine, mwingine eti haa yule nilienda kumridhisha tu maana nilishakula pesa zake vyakutosha kanipaka ushafu tu mie pesa tu piga pic mke ukisika hivyo aibu
Hiyo ni sawa na fungu la kukosa,maneno mengi wakati ushaliwa.Kama huwajui wanawake ndo utashangaa na kauli zao
 
Sasa Mimi kwanini iniume hasa kwa mtu mzima aliyeamua mwenyewe kufanya uzinzi unataka nimkate dyudyu yake si anajifanyia tu akiamua, huku nami natafta kipoozeo changu chenye masilahi mapana . yani mi akinizingua huyo kwa danga langu
Sasa utiwe ww kwa raha zako kuna shida gani hapo,cha msingi nisigundue baaasi.Binafsi nilisha mwambia wife kuchepuka ruksa ila nisijue,na namfuatilia nikigundua na kujiridhisha anasepa hakuna vikao regardless what na amewahi fuma sms mara kibao tu,,sio nikulishe ufanye ufuska nikajua aisee ukitaka haki sasa na Wewe oa na Niko tayari kisaikolojia siku yeyote
 
Kuna wanaume wanapewa mda wote na kuchepuka kupo damuni hata ufanyeje unafikiri na Mimi nitamvumilia huo ujinga ujue wanawake hunyamazia mengi si kwamba tu wajinga hapana hapo lazima tutafte mwingine kuziba hilo pengo lako LA kuchepuka, na sie tukichepuka ndo mapenzi hufa tunakuwa feelings zimeisha kabisa kwenu ndo mwabaki nakulalamika nyie hata mbiduke nyie ndo hutufanya tuanze kufanya uovu, tena bora anayechepuka akakuacha salama wengine huweka visasi had kuua waume zao, nyie wanaume mjifunze Ku solve matatizo sio kukimbilia umalaya eti mwatukomesha mtaumia nyie
Kama pengo limezibwa kuna haja gani ya kutumia na kuwaza kuua? Statistics zinaonyesha wanaume ndo wameua na kujiua zaidi kwenye ishu za mapenzi kuliko wanawake.Tulia tu na danga lako maisha yaende,udhalilishwe mpaka ushangae uzuri umejipeleka kishingo upande
 
Wanawake tatizo kubwa siku hizi nao wanajikuta wana Pumbu, wanataka kutudindia tuwe sawa
 
Wanawake wenye busara wameutumia huu uzi kuziba matundu ktk ndoa zao.

Ila wale wadangaji na wasiojielewa wame utumia kujinadi.

Wake wenye hekima hawa zidi wawili waliochangia hapa.
 
Hiyo kweli wananyonya kuzidi hata watoto wao, kisha yakilala eti miziwa yenyewe ndala tunataka saa6 wakati naye kachangia yalale tutafika tu wenye stress zao watabaki njiani
Ni wanaume tu wapumbavu wanaoweza Ku mudiss mtu aliyewazalia watoto acha tu michepuko iwaroge nakuwatia umaskini
 
Thamani yenu ya kuwa mke iko palepale lakini thamani yenu kimshaba inapungua saaana sasa mwanaume gani atabakia hapo isiposimama je,kuchepuka ni starter afu sasa kuna kukinai
Ndo mana nacye uwanyima tukijifanya hatutaki
 
Mwanaume yupi anayekujali kwa dhati,hujui usemalo ww
Shika hii itakussidia,kadiri mwanaume anavyozoea papuchi thamani yako inapungua macho yanaangalia mpya ni kinyume na nyie dudu zetu hazijawahi depreciate
Sasa na sisi tukishapata mume watoto hatuna mda na nyie baba watoto tunatafta chimbo jipya lenye kujali kuhusu ugegedaji mzuri na fezwa wewe mume hats ukiamia mtaa wa kumi ndo vzuri zaidi
 
Vijana hawajiamini na hawana pesa,aliyeoa anakuwa ameikinai papuchi ya mkewe anataka radha mpya tu.Tatizo wanawake wanatafsiri upendo kwa kutiana wakati wanaume ni tofauti, k kwa mwanaume ni kutolea nyege tu
Wenyewe sisi wanawake hatujali kutiwa tunaanza kujali care na masilahi wengine nyie mkitoa nyege sisi twawaza kwa mwanaume huyu nitapata faida gani za kiuchumi hyo ndo tofauti
 
Sasa utiwe ww kwa raha zako kuna shida gani hapo,cha msingi nisigundue baaasi.Binafsi nilisha mwambia wife kuchepuka ruksa ila nisijue,na namfuatilia nikigundua na kujiridhisha anasepa hakuna vikao regardless what na amewahi fuma sms mara kibao tu,,sio nikulishe ufanye ufuska nikajua aisee ukitaka haki sasa na Wewe oa na Niko tayari kisaikolojia siku yeyote
Hadi ugundue lini kwanza hapo ukute walea wana wasio wako na hauna sauti
 
Kama pengo limezibwa kuna haja gani ya kutumia na kuwaza kuua? Statistics zinaonyesha wanaume ndo wameua na kujiua zaidi kwenye ishu za mapenzi kuliko wanawake.Tulia tu na danga lako maisha yaende,udhalilishwe mpaka ushangae uzuri umejipeleka kishingo upande
Wanaume wengi hutangulia kufa kuliko wanawake unafikiri tatizo huwa nini ka sio stress za mahusiano kutokujiheshimu na kuhimili mambo,
 
Mm nimekula beki tatu wangu miaka kama 3 hivi na si kukamatwa, and nlichogundua tu, ni kwamba baada ya kuanza kula beki3, upendo na mke wangu uliongezeka kwani nlimpenda zaidi, pia tukawa hatugombani mara kwa mara maana nlikuwa nawahi kurudi yaan nikitoka tu job narudi home. Maana nlikuwa napenda kuwa karibu na beki tatu wangu. Yaan nlikuwa nikimsikia anacheka, ama anaongea najiskia raha sana. Beki tatu hasumbui ukitaka mzigo yaan anytime, anywhere, in short unapewa hata mara tatu kwa siku. Njia kuu usumbufu mtupu. Kaondoka beki3 wangu saiz kurudi hom mpaka giza liingie
Na cha kushangaza wife na beki3 walikuwa marafiki kinyama yaan wanapendana balaa
My mbavuz pliz.
So, umeletewa nani kwa sasa?
Mzuri au m'bibi?
Utakoma
 
Acha kulalanika hovyo, sababu ni ninyi wanawake wenyewe mlioolewa. Mfana mimi binafsi, nikikurupuka ile kumi na mija kamiki, dadaa keshaamka na kuanza usafi, maji ya kuoga kashanitengea wife kalala, nimirudi jioni akiniona tu anatenga maji ya kuoga, wife pengine yupo jikoni au pengine pasipo na umuhimu kunizidi, chakula kikiwa tayari dadaa akinitengea na kunikaribisha juu, wife yeye huita tu mtoto, chukua chakula mpelekee babaa, nikimaliza kula, dada anatoa vyombo fasta na kuniletea maji ya kunywa na kunawa, wife yupo tu. Sasa najiuluza je huyu dadaa ndio akitakiwa kuwa wife? Mahaba yanajijenga mdogomdogo, hata kama ni kabaya lakini ile care yake inanivutia, inabidi nimlipe fadhila tu basi afurahi na yeye.
Hawa wakishaolewa wanajisahau wenyewe wanasema nimeshatoa mkosi na hasa hawa wanawake waliosoma
 
Back
Top Bottom