Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Sasa na sisi tukishapata mume watoto hatuna mda na nyie baba watoto tunatafta chimbo jipya lenye kujali kuhusu ugegedaji mzuri na fezwa wewe mume hats ukiamia mtaa wa kumi ndo vzuri zaidi
Hahahaaa kila mtu anaanzisha koloni jipya
 
mkuu inakera sana, unatoka kazini mwenyewe umejipanga leo naenda kupiga show...usiku ukiingia unaambiwa nimechoka tulale kdg ntakuamsha baadae au asubuh...wakt mm nataka sas, shida atake yeye sas hata kama umechoka atakusumbua hadi uliamshe,acheni ubinafsi
Si kuna uzi hapa uliletwa wanaume wavivu wakiamshwa mapema wanagoma au mke anaambiwa wewe unataka mara ngapi unataka kuniua au
 
Kila mama mwenye house girl, roho mkononi ndiyo maana hawachangii chochote
Sana huko kila mtu jicho kwa beki 3 anawaza sijui huyu kesha pitamo [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kukupenda nimekupenda, nikakuoa na kukutolea mahari, nikakujengea heshima kwenye ukoo wanu na kwenye jamii, nyumba nimejenga, pesa ya matumizi nakupatia kila siku, kila wiki unabadilisha aina ya msuko, nguo kila sikukuu nakununulia, wazazi na ndugu zako nawasaidia kifedha, hadi wengine nawalipia ada, mshahara wangu nimekuweka wazi hadi mamba ya siri ya ATM unaijua na huwa unakwenda kutoa pesa sometimes, simu yangu sijakuwekea password na ninakuruhusu kupokea simu yoyote kama niko mbali mf. bafuni, SMS ikiingia nakuambia isome ni nani katuma na anasemaje, nk....

Hivi unahitaji nikuthamini kiaje labda.?

Lkn wewe ikifika kwenye tendo la ndoa unaniletea mgomo, hamjui tu mnaudhi sana!
Kero no.1 hii kwenye ndoa, mtu umemchagua yeye katika wote ila hawaonagi hilo mpaka ukimchoka utafute suluhu nje ndio anastuka na kuanza kulalamika hovyo
 
Me nishajilia tiyari beki 3 baada ya wife kusafiri na kunihachia zigo ndani saizi najuta maana imeniahachia mtikisiko kwenye ndoa mpaka leo
 
Mke katoka kwao kakufuata wewe hakufuata vyotevhivyo umefuatwa wewe yote hayo ni nyongeza, ndiyo maana hanidhi hawaeza oa
Sasa kama mke umefata libolo fc mbona mkiombwa gemu mnazingua tena hasa msimu huu wa mvua watu wanataka wajihifadhi kila wakipata nafasi kisha unakutana na swaga za mi nmechoka bhana we kila siku unataka usumbufu tu.
 
Huwa naonaga mwanaume anayemfanya beki 3kama muonevu vile.Maana mwisho wa siku beki3 maskini anafukuzwa na ndoto zake za kusaidia wazazi na ndugu zake zinafutika.kwanini msitafute wasichana ambao wanauwezo wa kuwachallenge kama umeamua kucheat?
 
Hakuna kuomba divorce nikubanana tu umeshafikisha miaka zaidi 7 ------10 unaenda wapi sasa
Aisee mi ntakukatia RB sasa kama unagoma kutoka ili majamaa wakufate uone ukiwa huna ndoa kama hao washenzi watakutaka tena.
 
Aisee mi ntakukatia RB sasa kama unagoma kutoka ili majamaa wakufate uone ukiwa huna ndoa kama hao washenzi watakutaka tena.
Umenifanya nicheke kwa sauti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mazuri
 
Huwa naonaga mwanaume anayemfanya beki 3kama muonevu vile.Maana mwisho wa siku beki3 maskini anafukuzwa na ndoto zake za kusaidia wazazi na ndugu zake zinafutika.kwanini msitafute wasichana ambao wanauwezo wa kuwachallenge kama umeamua kucheat?
Ndiyo chakushangaza, huyo binti anakuwa anaonewa anafukuzwa kazi kisha anakuja mwingine anakuwa kashaharibiwa future yake, kuna binti mmoja naye hivyo hivyo me kadanganya ndugu yake kumbe mwishowe kafukuzwa mwanaume hanamuda naye huko kwao maisha shida kabaki anazurula tu kama mbwakoko mpaka tu kamwambia mbona wewe mrembo tu kwanini usitulie? Alishazoea kuliwa na baba wenye nyumba atakaye muokota huko mmmm msala wa mke
 
Sasa kama mke umefata libolo fc mbona mkiombwa gemu mnazingua tena hasa msimu huu wa mvua watu wanataka wajihifadhi kila wakipata nafasi kisha unakutana na swaga za mi nmechoka bhana we kila siku unataka usumbufu tu.
Hamna bwana wewe hao wake zenu kaeni nao vizuri mbona waume wenzenu hukimbia vitanda mapema anazuga anafanyakazi kwenye mtandao kumbe anamkimbia mke [emoji2] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Wanaume wengi hutangulia kufa kuliko wanawake unafikiri tatizo huwa nini ka sio stress za mahusiano kutokujiheshimu na kuhimili mambo,
Mimi nahimili sana tu,kuchepuka ruksa ila nisikukamate.Majukumu ya wanaume ndo yanatuwahisha,kama kubaki ni dili kwa nini muogope kuitwa wajane?
 
Hadi ugundue lini kwanza hapo ukute walea wana wasio wako na hauna sauti
Wasiojitambua ndo watalea sana wasio wao,kwangu sharti mtoto afanane na Mimi sitanii ndivyo navyomwambia wife kinyume na hapo amtafute baba yake.
Nikichelewa kugundua ndo kudumu kwa ndoa,na lazima ujifiche sana maana kuolewa kwako mwanamke ni dili,pili kula kwako kunanitegemea mm
 
Wenyewe sisi wanawake hatujali kutiwa tunaanza kujali care na masilahi wengine nyie mkitoa nyege sisi twawaza kwa mwanaume huyu nitapata faida gani za kiuchumi hyo ndo tofauti
Ukilijua hilo tuache tuendelee kutafuna mahouse girl,mngekuwa hamjali msingekuwa mnalialia hapa kujifariji
Hizo hizo Mali ndo fimbo zetu wanaume thus why hatuoni shida kuwabadilisha ilimradi pesa ipo ila nyie mnadepreciate daily
 
Back
Top Bottom