Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

Wale hu date nao, ukishindwa sanaa kujizuia kuwataman bas we unagonga unasepa
 
wote wanakuwaga wanauza. kuna kipindi wife aliwahi kunipitia salon aliona nachelewa tulikuwa na safari mahali pamoja, akanikuta akasema ngoja aingie aone nipo wapi, akamkuta mdada ananipiga scrub. mazingira ya yule dada yalivyokuwa, hiyo kesi nilikaa nayo muda mrefu sana. wadada hao sio wazuri kabisa na wanauza kiukweli. wanatumiwa na shetani hao.
Hawatumiwi na shetani wanatumiwa na wateja wenye nyege.
 
Back
Top Bottom