wote wanakuwaga wanauza. kuna kipindi wife aliwahi kunipitia salon aliona nachelewa tulikuwa na safari mahali pamoja, akanikuta akasema ngoja aingie aone nipo wapi, akamkuta mdada ananipiga scrub. mazingira ya yule dada yalivyokuwa, hiyo kesi nilikaa nayo muda mrefu sana. wadada hao sio wazuri kabisa na wanauza kiukweli. wanatumiwa na shetani hao.