ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
sema najua mbele ya mbusus tunakuwa wadhaifu we akiileta chapa na kimbia au chapa mwambie mbaki marafiki
They are an ex for reason, mwanaume atambue they dont come back for good but foe benefits, wanawake they are so good at manipulationskuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.
Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa: “Hi j“Umenisahau?”, “Nilikuwa nakuwaza tu.”najua wanaume wengi wanakutana sana na hii kitu kwa sasa wimbi la ma ex kujichekesha chekesha nini utasikia anaanzisha stori ooh bwana aliyekuwa naye wameachana kamsaliti blah blah..Na El Niño nayo ikija, sijui hali itakuwaje. vipi wanaume naona nyota zetu zinaanza ku shine sasa utawala unarudi kwa wanaume tuzidi kukaza au tulambe matapishi wakuu..
mkuu hapo jamaa anakula mema ya nchi
Hizi ndio mada za maana sasa, sio unaamka asubuhi unakutana na oohhh serikali imejenga daraja, mara imenunua boti, mara imenunua madawati.....fully kuambiana habari ngumu tu mnatuongezea stress...
Ni kweli kabisa.kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.
Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa: “Hi j“Umenisahau?”, “Nilikuwa nakuwaza tu.”najua wanaume wengi wanakutana sana na hii kitu kwa sasa wimbi la ma ex kujichekesha chekesha nini utasikia anaanzisha stori ooh bwana aliyekuwa naye wameachana kamsaliti blah blah..Na El Niño nayo ikija, sijui hali itakuwaje. vipi wanaume naona nyota zetu zinaanza ku shine sasa utawala unarudi kwa wanaume tuzidi kukaza au tulambe matapishi wakuu..
Hii Kasi ni y ajabu mno, Mimi nimechoka sasakuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.
Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa: “Hi j“Umenisahau?”, “Nilikuwa nakuwaza tu.”najua wanaume wengi wanakutana sana na hii kitu kwa sasa wimbi la ma ex kujichekesha chekesha nini utasikia anaanzisha stori ooh bwana aliyekuwa naye wameachana kamsaliti blah blah..Na El Niño nayo ikija, sijui hali itakuwaje. vipi wanaume naona nyota zetu zinaanza ku shine sasa utawala unarudi kwa wanaume tuzidi kukaza au tulambe matapishi wakuu..
Xmas 🎄 🎄 🎄 🎄 🎄kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.
Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa: “Hi j“Umenisahau?”, “Nilikuwa nakuwaza tu.”najua wanaume wengi wanakutana sana na hii kitu kwa sasa wimbi la ma ex kujichekesha chekesha nini utasikia anaanzisha stori ooh bwana aliyekuwa naye wameachana kamsaliti blah blah..Na El Niño nayo ikija, sijui hali itakuwaje. vipi wanaume naona nyota zetu zinaanza ku shine sasa utawala unarudi kwa wanaume tuzidi kukaza au tulambe matapishi wakuu..
Naunga mkono hoja.Ambao hatuna ma -ex hutujui nini kinaendelea..