Wanaume, Mmeona Hii Kasi ya Ma-Ex Kurudi Ghafla

Wanaume, Mmeona Hii Kasi ya Ma-Ex Kurudi Ghafla

Ex wangu mwenye matako makubwa kuliko wanawake wote niliowahi kuwa nao anataka tukutane leo.
 
Hizi ndio mada za maana sasa, sio unaamka asubuhi unakutana na oohhh serikali imejenga daraja, mara imenunua boti, mara imenunua madawati.....fully kuambiana habari ngumu tu mnatuongezea stress...🤨
Mwoneni mwehu huyu! Kwl wengi wana matatizo ya afya ya akili
 
kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.

Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa: “Hi j“Umenisahau?”, “Nilikuwa nakuwaza tu.”najua wanaume wengi wanakutana sana na hii kitu kwa sasa wimbi la ma ex kujichekesha chekesha nini utasikia anaanzisha stori ooh bwana aliyekuwa naye wameachana kamsaliti blah blah..Na El Niño nayo ikija, sijui hali itakuwaje. vipi wanaume naona nyota zetu zinaanza ku shine sasa utawala unarudi kwa wanaume tuzidi kukaza au tulambe matapishi wakuu..
Penzi la X tamu sana hasa akiwa kajirekebisha na maamuzi ya kurudiana ni dk 0.
Kilichounganishwaga na Mungu(sex intercourse) binadamu asikitenganishe.
 
Hamfuatilii nyota.

Venus ipo retrograde kuanzia leo

Mercury inaanza kuwa retrograde 24 oktoba

Trend hii yote inaenda mpaka tarehe 13 November

Kipindi hiki chote kitatawaliwa na mambo ya zamani, slow downs na delays za hapa na pale

Safari hii disemba hakutakuwa na ajali nyingi kama mwaka jana sababu retrogrades zimewahi kabla ya kawaida
 
Mwoneni mwehu huyu! Kwl wengi wana matatizo ya afya ya akili
Nikweli mkuu, humu inajulikana kabisa mimi sina akili na mudi wote wanajua....😜
downloadfile-19.jpg
 
Utakosa vyenye umuhimu bloangu,ng'oa hizo app zinazokutenganisha na mema ya dunia
Hakuna app bandugu, ni setting tu😂,, napokuwa home nabonyeza kitufe, kama ni ishu za kaz wadau watamtafuta Boss habari zitanifikia, kama ni ndugu watamtafuta wife au wana wa karibu,, utaskia oyaa mbona hupatikani?
Ni kweli kuna mda napishana na vya umuhimu,, bora iwe hivyo mie kesi ndogo tu nashindwa kujitetea kwa wife,, kuepusha hayo nabonyeza Kitufe 😂,, kuna sehem nikienda ndio naona flani alintafuta au sms, na mihamala mingine,, 😂
 
Siku utapigiwa simu weeeeee uitwe kny intavyuu ya kazi ya maana kabisa hupatikani,ukiwatafuta wewe nao hawapokei walivyo bize,hapo ujue ndio umeshajinyima fursa,🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom