Ngoja niongezee na mguu kabisa...Naunga mkono hoja.
Hahahaaaa huyu jamaa sio bure....
Hahahaha Busu la Kenge hulitaki mkuu??Nafanyaga makosa yote, ila sio kurudiana na kenge.
Hakika kabisaa.Ngoja niongezee na mguu kabisa...
Angalia mzee isije ikawa ndio unaenda kupigwa shotiEx wangu mwenye matako makubwa kuliko wanawake wote niliowahi kuwa nao anataka tukutane leo.
Unafanyaje fanyaje mkuu?Namba kama haipo kwa list yangu haiwez nifikia,
Sijui atumie njia ipi 😂
Utakosa vyenye umuhimu bloangu,ng'oa hizo app zinazokutenganisha na mema ya duniaNamba kama haipo kwa list yangu haiwez nifikia,
Sijui atumie njia ipi 😂
Mwoneni mwehu huyu! Kwl wengi wana matatizo ya afya ya akiliHizi ndio mada za maana sasa, sio unaamka asubuhi unakutana na oohhh serikali imejenga daraja, mara imenunua boti, mara imenunua madawati.....fully kuambiana habari ngumu tu mnatuongezea stress...🤨
Penzi la X tamu sana hasa akiwa kajirekebisha na maamuzi ya kurudiana ni dk 0.kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.
Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa: “Hi j“Umenisahau?”, “Nilikuwa nakuwaza tu.”najua wanaume wengi wanakutana sana na hii kitu kwa sasa wimbi la ma ex kujichekesha chekesha nini utasikia anaanzisha stori ooh bwana aliyekuwa naye wameachana kamsaliti blah blah..Na El Niño nayo ikija, sijui hali itakuwaje. vipi wanaume naona nyota zetu zinaanza ku shine sasa utawala unarudi kwa wanaume tuzidi kukaza au tulambe matapishi wakuu..
Nikweli mkuu, humu inajulikana kabisa mimi sina akili na mudi wote wanajua....😜Mwoneni mwehu huyu! Kwl wengi wana matatizo ya afya ya akili
Hakuna app bandugu, ni setting tu😂,, napokuwa home nabonyeza kitufe, kama ni ishu za kaz wadau watamtafuta Boss habari zitanifikia, kama ni ndugu watamtafuta wife au wana wa karibu,, utaskia oyaa mbona hupatikani?Utakosa vyenye umuhimu bloangu,ng'oa hizo app zinazokutenganisha na mema ya dunia
Cheki setting ya simuUnafanyaje fanyaje mkuu?
Siku utapigiwa simu weeeeee uitwe kny intavyuu ya kazi ya maana kabisa hupatikani,ukiwatafuta wewe nao hawapokei walivyo bize,hapo ujue ndio umeshajinyima fursa,🤣🤣🤣🤣Hakuna app bandugu, ni setting tu😂,, napokuwa home nabonyeza kitufe, kama ni ishu za kaz wadau watamtafuta Boss habari zitanifikia, kama ni ndugu watamtafuta wife au wana wa karibu,, utaskia oyaa mbona hupatikani?
Ni kweli kuna mda napishana na vya umuhimu,, bora iwe hivyo mie kesi ndogo tu nashindwa kujitetea kwa wife,, kuepusha hayo nabonyeza Kitufe 😂,, kuna sehem nikienda ndio naona flani alintafuta au sms, na mihamala mingine,, 😂