Wanaume mna shida sana

.namlalamikia bure alichoandika akieleweki mzigua yupo tungi mbaya
 
Mzigua90 [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482] kimechanganya nini?
 

Punguza pombe.....maandishi hayaeleweki ...we ni mdangaji...leo umekutana na kimeo
 
Si umwambie tu huyo mlengwa moja kwa moja, wengine tunajitambua nafasi zetu na hatupendi kufananishwa na wasio jielewa
 
Umekoma .. Sa nane usiku upo macho kidume kalewa kalala.. Muwege mnatuletea hizo papuchi tuziparureee hadi majogoo.
 
Kumbe shida ni kuwa tu hajafika price tag yako!!?
Ungeachana na hayo ya kumwita mshamba!!! Sema tu anashoboka hana hela na wewe upo kwenye business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…