Wanaume mna shida sana

Wanaume mna shida sana

.namlalamikia bure alichoandika akieleweki mzigua yupo tungi mbaya
 
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.

Punguza pombe.....maandishi hayaeleweki ...we ni mdangaji...leo umekutana na kimeo
 
Si umwambie tu huyo mlengwa moja kwa moja, wengine tunajitambua nafasi zetu na hatupendi kufananishwa na wasio jielewa
 
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Kumbe shida ni kuwa tu hajafika price tag yako!!?
Ungeachana na hayo ya kumwita mshamba!!! Sema tu anashoboka hana hela na wewe upo kwenye business
 
Back
Top Bottom