Wanaume mna tatizo gani?

wewe hujawahi kupenda double double! au unasema tu kwa sababu hujampenda huyo kaka unajifanya kushangaa! these hearts sometimes can be very complicated, You are too teenager to know these things
 
Kama anakupenda Kwani ni vibaya? Kama wewe ulikuwa unamchuika usingekuwa unatoka nae kwenda kupata drinks right?
 
wewe hujawahi kupenda double double! au unasema tu kwa sababu hujampenda huyo kaka unajifanya kushangaa! these hearts sometimes can be very complicated, You are too teenager to know these things

kupenda unapenda mmoja wengine hata mia unatamani!
Our hearts are never complicated we are the ones who complicate things.
 


1. Ol these times ulikuwa single????
2. Harusi mliyokutania iliisha sa ngapi ????
3. Mtu humjui kurupu mpaka kwenye vinywaji sehemu nyingine?????
4. Ya nini namba ya simu ilhali hakukuvutia na hukuwa na mpango naye????
5. Unafuatiliwa na mtu usiyempenda nawe kama zuzu (uroho wa vinywaji) upo tuuuuuuu positively????
6. Mara kadhaa mnapiga story gani na mtu usiyempenda na yu know anakutaka???
7. Hukulala naye....quickies???? back seats???
8. Alivyokutekenya wewe ukamuangalia rafiki yako kama kaona u- double line wako?????

Tulipoulizwa tunataka kutoka na nani humu JF i mistakenly chose you.....m now directing my assistants (MODS) to cancell the notice I tendered......sorry for inconviniences
 
mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....

The boss hii ndo in inaitwa plastic personality......it only needs high temperature to melt
 
Kabakabana....

Ndo nini kuja kutoa siri zangu hadharani hivi?
 

neema umetoa angalizo zuri sana hili ambalo linapaswa kuzingatiwa na akina dada ....hata zile story za mdada kumegwa baada ya kuleweshwa kwa pombe au madawa ya kulevya ndiyo zinaanzaga hivi.... kama mtu humtaki, don't allow him to get unnecessarily closer to you
 

neema congratulation kwa mawazo mazuri napenda wasichana wenye msimamo kama wewe na akili,kama unipendi nipotezee kabisa usinipe nafasi ya kuendelea kukufuatilia wanaume tunajua wanawake ni fake sana so uwatunajitahidi kuwalazmisha tukitegemea mtabadili msimamo,lakni kama umesha hisi unipendi usikubali offer zangu.mimi nikimtokea mdada then nikiona tabia ainidhrishi nampiga fix ninamtoto so sina mpango wa kuowa karibuni nalea kwanza
 
Huyu mwacheni, hakuwahi pewa mafundisho ya usichana au hayaamini, hawa huitwa loose balls kama ilivyosemwa hapo juu.
Ww humpendi mtu, ila unatoka nae miaka nenda rudi, unategemea yeye akuchukulieje?
Lazima akujaribu hadi utakapokata contacts nae.
Sijui kwanini nahisi unaona raha kukataa mtu, na sio kuwa unataka mtu unaempenda, ila tu na wewe uwe na mtu uliewahi kumkataa katika historia yako.
Kwa ufupi dia kama humpendi mtu kimapenzi, na mlikuwa marafiki, inabidi uweke distance kwa muda mpaka hali hio ipite. Otherwise mwache aendelee kubahatisha anaweza kupata.
 

no need to be sorry,u are warmly welcome.
 

haika za leo?umesikika.
 
Mwanaume jasiri hakati tamaa mpaka apate anachokitaka.Usiogope kisa kaoa ni kutimiza maandiko tu lakini kupenda kunaemdelea.Halafu unavyomfanyia mwenzako vibaya hivyo kakupenda kwa muda wote huo.Alivyokugusa mkono huku sisimka jamani vibaya hivyo
 
no need to be sorry,u are warmly welcome.


Mpaka ndani........

Lakini hujanijibu kitu moja ol the times huyu jamaa anapiga makasia wewe ulikuwa single???? As kama ulikuwa in a relation nawe pia ulikuwa astray.....if yu were single MODs please sitisha zoezi till further notice
 
Umepoteza bahati!, na ukiolewa utaolewa na asiekupenda!
 
Ukichoka au wakikuboa niambie . . . I will fly you!
 
Mwanaume jasiri hakati tamaa mpaka apate anachokitaka.Usiogope kisa kaoa ni kutimiza maandiko tu lakini kupenda kunaemdelea.Halafu unavyomfanyia mwenzako vibaya hivyo kakupenda kwa muda wote huo.Alivyokugusa mkono huku sisimka jamani vibaya hivyo

wala sikusisimka,i considered him as just a friend had no feelings for him watsoever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…