Huyu mwacheni, hakuwahi pewa mafundisho ya usichana au hayaamini, hawa huitwa loose balls kama ilivyosemwa hapo juu.
Ww humpendi mtu, ila unatoka nae miaka nenda rudi, unategemea yeye akuchukulieje?
Lazima akujaribu hadi utakapokata contacts nae.
Sijui kwanini nahisi unaona raha kukataa mtu, na sio kuwa unataka mtu unaempenda, ila tu na wewe uwe na mtu uliewahi kumkataa katika historia yako.
Kwa ufupi dia kama humpendi mtu kimapenzi, na mlikuwa marafiki, inabidi uweke distance kwa muda mpaka hali hio ipite. Otherwise mwache aendelee kubahatisha anaweza kupata.