Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
- Thread starter
-
- #101
Mpaka ndani........
Lakini hujanijibu kitu moja ol the times huyu jamaa anapiga makasia wewe ulikuwa single???? As kama ulikuwa in a relation nawe pia ulikuwa astray.....if yu were single MODs please sitisha zoezi till further notice
Umepoteza bahati!, na ukiolewa utaolewa na asiekupenda!
Ukichoka au wakikuboa niambie . . . I will fly you!
Shida yenu nyie wadada mnakuwa kama sungura sizitaki mbichi hizi, kumbe umeshindwa, tulieni nyie acheni kushoboka
ETIII? Hapo kwenye red, naona wewe unasema longo sana. Tupe siri ya kutoyataka mapenzi? au wewe ni bingwa wa ma-dildo?too bad for her,,mapenzi yana kazi sana mheshimiwa,mimi siyataki kaabisaa.
i am me to be trusted by my bro nat you.
Dada,yani kupatwa na mkasa huo kwa mwanaume mmoja umeamua kujumuisha wanaume wote?! Sioni uhalali wako kuuliza kama kwamba ni tatizo la wanaume wote! Yani na mimi nikisema yaliyonikuta kwa mpenzi wangu mambo yake maovu ningepata haki ya kuhoji wanawake mnamatatizo gani!? Si sahihi kwa kweli coz matatizo ni sehemu ya wanadamu na tuko tofauti sana vichwani mwetu na akili zetu..... Mbona wake za watu wanatutaka baadhi yetu wanaume na hatujahoji kihivyo?!
ETIII? Hapo kwenye red, naona wewe unasema longo sana. Tupe siri ya kutoyataka mapenzi? au wewe ni bingwa wa ma-dildo?
go to ur bro then.. Why hv u brought the case in public.?
this thread is nat about my bro to trust me or nat,,be a careful reader next time
ur confused..!
Ooh! Nimehairisha kuolewa.
That's how a man is suppose to behave...sio kujifanya haujamuona ila pia ni kuwa hauna habari na kinachoendelea hapo ulipo zaidi ya huyo uliyenaye tu..