Wanaume mna tatizo gani?


wewe ni mtu wa kwanza kwa kunielewa,nakushukuru sana.
Mimi nilikuwa busy na mbali kwa muda, kwahiyo hata sikuwaza mambo ya kuuliza bwana harusi ni nani.
 
Alikupenda, wewe hukumpenda, Alipomaanisha wewe hukua tayari kuona utayari wake, Sasa wenzako wameona na wameshamaliza kila kitu, Mwache aangalie ndoa yake

nimefurahi ameoa basi aache usumbufu.
 
kawaida hiyo kwani moyo unavyumba vingi vya kuhifadhi mapendo. Ila kimsingi ulimdhulumu kukupenda kwani bado anahitaji nafsi yako. We mpage tu kihalali

ndio matatizo ya binadamu!Unapenda usipopendwa na unakuta unapopenda haupendwi hapa ilikula kwake
 
Ulikuwa unatoka nae out halafu unamdengulia sasa imekula kwako na roho inauma. Thats the game man plays hata kina dada,unakuwa na watu wawili stand by,mmoja akizingua anachukua yule aliyetayari,ni mambo ya sampling tu kabakabana

haijaniuma kuwa ameoa mtu mwingine,naumia kuona amemuoa rafiki yangu ambaye ni mpole na mwaminifu.
 

kama nyie kutongoza wakati mmeoa ni kitu cha kawaida,basi na kwa wanawake ni kitu cha kawaida pia.
 
wewe ni mtu wa kwanza kwa kunielewa,nakushukuru sana.
Mimi nilikuwa busy na mbali kwa muda, kwahiyo hata sikuwaza mambo ya kuuliza bwana harusi ni nani.
Pole sana! Kwa kuwa jamii yetu haikubali/ haitambui urafiki wa mwanamke na mwanamume basi tumia tukio kama "uzoefu" mbele ya safari.
 
kama uliku humtaki why waste your time kunywa drinks nae tena mara 3-4, juu ya nini? hebu funguka maana naona kuna kitu nyuma ya pazia unaficha. halafu kukuambia anakupenda si ni kawaida wa wanaume, kuna mwanamme yoyote ambaye ana mpango wa kukua chupi halafu aseme hakupendi? la kwa kwanza I LOVE YOU... ukizubaa kidogo tu anakuambia atakuoa. sioni kitu cha ajabu sana alichofanya huyu kaka. alifanya kama wafanyavyo wanaume wote.

niliönana nae kwa drinks mara kadhaa kama mara 3 au 4 baada ya siku ile.,kupata a drink na mtu ina maanisha hujatulia?ahsante kwa kunifahamisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…