Wanaume mnajidanganya kwa hili

Kazi nzuri kunako 6 kwa 5 aise inategemeana na mwanamke yukoje.
Ukiwa na mwanamke yuko bomba aise mambo huja automatically.
Wanaume tujitahidi kuoa wanawake wazuri na wanao vutia

[emoji375][emoji375]
umeeleweka mkuu
 

Hapa umeonyesha kuwa pesa ina nguvu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheza na maisha ukifika 50 years ndiyo utajuta kwa nini hukuolea ma mwenye. Umri ule nguvu za like zinapungua mno na hata kuingiwa na dusheinakuwa maumivu inabaki kulalamika , mbona hujaniandaa. Menopause ikfika ndio fainali na unatamani ungekuwa na mwenye hela ukatulia maana uwezo Wa kudanga huna na huna mvuto kwa wanaume tena . Wa namna yako mnaishia kuwa omba omba uzeeni na kutegemea watoto wakutunze wakati hukuwalea malezi bora. Chezea ujana fainali uzeeni unakusubiri. Na MTU Wa maisha ya kuunga unga anachakaa haraka ajabu. . Kwa hakika mwanamke responsible ana miaka 20 tu ya kuenjoy sex kutoka 30 hadi 50 . kabla ya hapo niasomo kwenda mbele na baada ya hapo ni menopause. Msingeuwa na menopause mngetesa sana
Hata mwanaume at 60 power ya sex inapungua mno kiasi kwamba ukioa msichana ni fahari tu humuwezi. Mwenzio anataka sex kila siku na wewe unaweza Mara moja kwa wiki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aahahaha embu weka kapicha kako nikuone mrembo. Maana unafahaa kwa matumizi ya binadamu....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Wanajifanya wanastress kumbe ni tamaa tu zinawasumbua...


Cc: mahondaw
 
Swali langu nitakupataje ili ujue kuwa Mimi kwenye 6kwa 6 niko bomba kama mbwa
 
Aiseeeeeeeeeee ngoja nianze kujituma daaaa!!! Isije ikawa anawapelekea pesa zangu wanaojituma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…