Wanaume mnajidanganya kwa hili

Wanaume mnajidanganya kwa hili

Hapo kuna vitu viwili tu unaangalia wewe.
Mwenye Pesa na mjuzi wa kitanda.

Wale wasio na pesa na sio wajuzi wa kujikunja? wapo hawana vyote hivyo
 
Kwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
Show zote utakuwa unasimamia wewe mama"
 
nakubaliana na wewe boss, nlikuwa namkaza sana sasa sasa hivi majukumu yamezidi naona dharau zimeanza ngoja nimtafutie kasi zake
 
Back
Top Bottom