Wanaume mnajidanganya kwa hili

Wanaume mnajidanganya kwa hili

Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia mhela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, ila naona kama unatuhadaa. Kwenye Uzi wako huu mfupi umetaja neno pesa/hela zaidi ya Mara nane.Mpaka hapo hujaona unyeti wa hii kitu.
 
Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Usaliti ni usaliti tu iwe moyo unapenda au haupendi hivyo achana na mawazo ya usaliti hata kama mtalala njaa siku 100 maana neno la Mungu linasema
👇
Mathayo 6:
31 Msisumbuke, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini?
32 Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote.
33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
34 Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.

Hakuna kisingizio chochote unachoweza kukitumia kutoka nje ya ndoa kama kweli unaipenda ndoa yako labda kama humjui Mungu tu ndo utaweza fanya hivyo. Hivyo kubalini huduma zote yaani hata mumeo awe na mapungufu kiasi gani ww simamama katika uaminifu tu
 
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huko ukikuta anakila ktu pesa ya kukuhudumia na anauwezo wa kukukaza vzuri si utamuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu yangu mwenyewe hakujua wanawake wanataka nini ndo maana akawaoa wanne labda wataelewana wanachotaka
Hahahahahaha,, mkuu umetisha sana ila ni kweli usiopingika hivi viumbe huwa hawaeleweki kabisa hitaji la moyo wao dawa yao unawowa waine kwisha habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hata kahaba yawezekana ana mtu wake anayempenda lakini kuna mwingine anampa huduma ya ngono kwa sababu ya fedha, sioni tofauti na wewe labda kahaba yeye anafanya biashara ya ngono kwa uma (public sector) wakati wewe unafanya kwa mtu binafsi (public sector) .

Sasa tajiri unampa kwa uwezo wake kifedha, anayekufikisha hata kama maskini unampa kwa uwezo wa utendaji.

Tuseme tu, kila mtu yoyote atakula kwa urefu wa kamba yake linapokuja suala hitaji la kutumia mwili wako ama awe na pesa au uwezo wa kiutendaji wote wana nafasi.

Halafu unajuaje kwamba huyu yuko vizuri kitandani?? si unafanya nae??? Utafanya na wangapi mpaka kumpata mtendaji kazi sahihi???

Your vagina is public toilet for the civilians.
 
Wenzako sikuizi wanapenda kazi sungura malipo kifaru Sasa wewe vp? Unapenda kazi kifaru malipo sungura itakuwa machine yako imechakaa sana Kwa kusuguliwa kupita kiasi na hao mabingwa wa 6×6 wanawake wanaopenda kusuguliwa na kupiga mabao mengi wengi machine zimechakaa huo ni ukweli mchungu
Hapana siamini kwenye usaliti,hiyo nimechomekea tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake narudia tena, hajielewi na hatujui hadi sasa mnataka nini, mara awe vizuri kabla ya kumaliza uzi paragraph ya chini yake anadai akipigika ataenda kwa tajiri atoe uchi apate pesa..

Ninachojuajua mimi wanawake ni kweli wanapenda, lakini upendo wao huwa unaisha tu wenyewe.. Na hapo hata uwe na nini.

Ndivyo mlivyo
 
Hawa ndjo wanawake wetu sie, tuna shida sie.... Acha tu.

Kuishi na nyinyi viumbe ni mtihani mkubwa tulipewa na aliewaumba
Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa

Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
 
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo kwangu ninavyo vyote
 
Back
Top Bottom