Mnaongelea kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume au mvulana na msichana,nahisi hii imekaa kwa kivulana na kisichana zaidi,
Nijuavo mm kwa mwanaume hawezi kukuona mda huo na kukutongoza mda huo huo labda km ni mvulana,
Wanaume wanachofanya atataka urafiki,contact then mtakuwa marafiki akikusoma taratibu kujua km uko kwenye position ya kutongozwa na kumkubalia,
Wanapoguandua uko single ndio anaweza kukupa outing na mkaanza kudate na huko kwenye dating ndio atakutafutia siku atakwambia lake la moyon na mara nyingi hawatakagi kujibiwa pale pale huruhusu kujibiwa wakati wowote mwanamke anapokuwa tayari,
Hapo mwanamke kulingana na namna naye alivokuwa akimuona jamaa na kumsoma kiustarabu hata baada ya kutoka pale hutoa jibu kwa cm au kutoa sms na manpen huanzia hapo na kuendelea,
Ila nikikutana na mtu simjui akanitongoza hapo hapo na anataka jibu hapo sitamkubalia kwan kakosa ustarabu,kaniona niko pale kumsubiri yoyote anitongoze,inshort huwa nawaona ni watumiaji tu na hawana mapnz kbs.