Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo imetulia kukubaliwa siku hiyohiyo sio kuwa mwanamke kicheche bali ni utashi wa muombaji na mwombaji
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbue kidogo mwanaume wala si siku hiyo hiyo mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?