Wanaume mnajisikiaje kumtongoza mwanamke nakukubalia hapo hapo

Wanaume mnajisikiaje kumtongoza mwanamke nakukubalia hapo hapo

Hiyo imetulia kukubaliwa siku hiyohiyo sio kuwa mwanamke kicheche bali ni utashi wa muombaji na mwombaji
 
Akikubali hapo hapo sasa si ndio bomba tunakuwa tushamaliza Dibaji tunafungua ukurasa wa kwanza tunasonga
 
Hiyo imetulia kukubaliwa siku hiyohiyo sio kuwa mwanamke kicheche bali ni utashi wa muombaji na mwombaji

vicheche ndio wanaosumbua waliotulia hawana complications maana wanajua jinsi ya kukutosa fasta ukileta za kuleta
 
mimia kinikubalia siku ya kwanza basi ajue kuwa sitakuwa na future naye yoyote.
 
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbue kidogo mwanaume wala si siku hiyo hiyo mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?

Nini kukubali hapo hapo; hata akinipa siku hiyo hiyo mi kwangu poa tu!!! Kama nilipanga ku-settle nae nita-settle nae tu na kama nilipanga kupiga na kusepa; basi hata akizingusha mwaka mmoja na ushee, nitapiga na kusepa!!
 
Nahisi ni moja ya suluhisho la watu kuoa
wengine wakisumbuliwa sna wawili watatu anaowapenda aisee yeye na uzinzi uzinz i na yeye mpaka kufa
 
mayb naye alikua anasubir tu atongozwe...
 
Akitaka nitoke nduki fasta basi anipige kalenda.......kikawaida sina pumzi za kufuatilia jibu kwa msichana daily.
 
Mie bwana napenda nikimwambia tu shida yangu aseme kama poa au sio poa.
 
Mimi mwanamke nikimtongoza pale pale akakubali, huwa sioni kama ni malaya, ndo na muona mwanamke anaye jua kupenda na mkweli.

Hawa sitaki sitaki afu anakupa huwa namuona m a la y a tu.

Mwanamke anaye kupa pale pale huyo ndo mzuri, mana hana ile system iliopitwa na wakati.

Afu wewe defination yako ya malaya ni ipi? mana wewe umemtogoza mwanamke kwa sababu umempenda, kakupa kwa sababu kakupenda...vipi awe malaya!

Malaya navyo jua ni yule anaye jiuza yani wewe ukisema unamtaka anakupa bei.

Usifananishe jua na mwezi kijana....yani kupendwa siku ile ile imekuwa kosa :biggrin:
 
Mie mwanamke akiniambia subiria kesho,simtafuti tena labda anitafute mwenyewe.Na akijaribu kunitafuta nami namwambia anipe muda nimfikirie.Mambo ya sitaki nataka ilikua enzi za nyuma,kupigana tarehe kwani imekua clinic,utandawazi umerahisisha mambo bana.
 
fikra za kikoloni hizo,miye wangu alinikubalia siku hiyo hiyo,nikapewa mzigo same day na mpaka leo tupo pamoja full of love...kumbuka its not love mwanzoni but mnavyoendelea pamoja ndo mnafall in love
 
Inategemea kwanza unamtongoza ili iweje. Kama unamtongoza na ulikuwa unafikiria may be atakuwa mkeo/utamuoa, then huyo wa hapo kwa papo hafai full stop. Ila kama unamtongoza unataka kukamua tu au awe hawara flani, tatizo liko wapi?
 
huyo ndio mwenyewe maana anakubali hoja bila kupinga,full kujisevia..
 
Lazima tuwazungushe kidogo hata kama we feel the same way... Kama huna moyo wa kusubiri basi imetoka hiyo... Kuna raha yake pale unapomuweka mwanaume pending..lol!
 
Mnaongelea kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume au mvulana na msichana,nahisi hii imekaa kwa kivulana na kisichana zaidi,

Nijuavo mm kwa mwanaume hawezi kukuona mda huo na kukutongoza mda huo huo labda km ni mvulana,
Wanaume wanachofanya atataka urafiki,contact then mtakuwa marafiki akikusoma taratibu kujua km uko kwenye position ya kutongozwa na kumkubalia,
Wanapoguandua uko single ndio anaweza kukupa outing na mkaanza kudate na huko kwenye dating ndio atakutafutia siku atakwambia lake la moyon na mara nyingi hawatakagi kujibiwa pale pale huruhusu kujibiwa wakati wowote mwanamke anapokuwa tayari,
Hapo mwanamke kulingana na namna naye alivokuwa akimuona jamaa na kumsoma kiustarabu hata baada ya kutoka pale hutoa jibu kwa cm au kutoa sms na manpen huanzia hapo na kuendelea,

Ila nikikutana na mtu simjui akanitongoza hapo hapo na anataka jibu hapo sitamkubalia kwan kakosa ustarabu,kaniona niko pale kumsubiri yoyote anitongoze,inshort huwa nawaona ni watumiaji tu na hawana mapnz kbs.
 
Tarehe mpango wa kizamani. Eti subiri nifikirie? Afikirie kwani anaenda kulipeka kwenye kikao jopo la wasomi na ndugu zake ili wamshauri akubali au akatae!!
 
kwa wanaume wote tunaotongoza kwa vitendo suala la kukubaliwa siku hiyo hiyo si suala la kushangaza!!!kwasababu matongozo ya vitendo ni mpango mzima wa kutangaza ufalme!!!!hapo ni sura na muonekano kwa ujumla,kunukia,maneno machache vitendo vingi!!!
 
Back
Top Bottom