Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Mwanamke akikuambia biashara fulani inalipa achana naye wao huwa na vyanzo vingine vya mapato visivyo eleweka, mwanaume akilalamika hali ngumu ujue kweli hali ni ngumu.
 
Ndo maana ata vitabu vya dini vinakataa msifanye kaz na make kutuudumia utamu tu.maana Hanna akili uko kichwani wengi wenu

Mwanaume yeyote sio mbinafsi na hupigania haki yake na rafiki zake .elim ikiwa bure itapunguza kuombwa hela na ndugu jamaa na marafiki, watu pia watawekeza iyo ela ya ada kwenye miradi mingine na hayo ndo maendeleo.

Usifikirie kwa kutumia chini ya kitovu , tumia akili
 
saa hapo siasa na act kubadlilika au wanaume waoga wajitambue....maana out of order...mie mbona silalamiki naiga kazi tuu nilee mtoto wangu
 
Najua hamtanielewa ila mwenzangu. Wonderful na akinaatoto watanisaidia hapa kuwatoeni huko.

Kipindi hiki cha uchaguzi hakika nimegundua wanaume mnapenda vya bure sana. Baada ya uchaguzi kuisha mmekuwa ni watu wa kulalamika.

Kulalamika kwenyewe mnalalamika elimu bure,milo mitatu bure, hadi kufika hatua mnasema kuoa itakuwa ngumu,mimba kukataliwa zitaongezeka,Wanaume ni mmelogwa ama? Ni nini hiki mnashadadia vitu vya bure?.

Halafu bila aibu unajiita kamanda, unajua maana ya kamanda?.

Ulipokuwa unazaa watoto wako hukujua itafika siku watahitaji kusoma,hukujua iko siku utataka kuoa then ujipange?

Mungu katubariki Tanzania kuna opportunity za kumwaga,mwanaume unashindwa kuchangamkia fursa?.

Tuna ardhi nzuri mwanaume unashindwa kujikita kwenye kilimo mashamba yenyewe kijijini kukodi kwa mwaka hadi kwa buku kumi unapata?!

Tangu juzi mmekuwa ni watu wa kuandika vitu visivyo na kichwa wala miguu kwenye mitandao kulialia wakati wanawake wako busy kuchakarika na biashara zao.

Mwanaume mzima kweli unalialia? Unasahau uliambiwa utakula kwa jasho?.

Kuna mwingine akasema nahama Tanzania kweli? kisa umekosa vya bure sasa ndo unapata akili ya kuhama nchi wakati hapo mwanzo hata siku moja hukuwahi kucheki nchi gani ya nje ina opportunity ukachakarike huko?.

Serious Wanaume mmekera sana kipindi hiki cha uchaguzi.Mi nilitegemea mabadiliko ambayo yangewasikitisha kuyakosa ni Sera za Act wazalendo sasa mnasikitika milo mitatu? elimu bure?, afya bure,

HEBU WANAUME FANYENI KAZI.
We mbona ulimsaliti mumeo
 
Back
Top Bottom