Wanaume mnakera sana

Wanaume mnakera sana

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.

Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi.

Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea

Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
 
Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti?? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi. Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?

Akiwa anafanya vizuri, sifa unampa peke yake. Now anazingua, shutuma unarudisha kwa wote.

Kama Abdallah wako ni mbahiri, basi peleka malalamiko direct kwa huyo Abdallah, sisi wengine hatuhusiki.
 
Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti?? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi. Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea
Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
Bwana wako akuudhi uje utusumbue sisi?

Kwenda huko
 
Nakumbusha..

Matumizi kayafanya nani?
 
Kumbe

Hela unazo sasa unamuomba za nini.. mjinga wewe
 
Back
Top Bottom