Wanaume mnakera sana

Wanaume mnakera sana

Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.

Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi.

Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea

Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
Apart from sex wewe unampa nini ambacho hawezi pata kwingine?
 
IMG_8570.jpeg
 
Finally papa bear 🥰🥰🥰 katuma
I love him to death jamani
Simuachi Ngooo labda Mungu amchukue
 
Ogopa sana mwaaume mwenye nyege. Anaweza kukuahidi kila kitu hata pepo. Sasa subiri akojoe kudadeki. Kama sio sisi vile
 
Kwanza tuanzie hapa, huyo ndio mwanaume wako pekee au umewapanga na bado unalalamika. Halfu wanawake wa siku hizi mtatumika sana, mtu Girlfriend anataka matumizi kama mke vile.
 
Kai
Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.

Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi.

Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea

Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
Kausha damu kazini.
 
Very stupid

Stupid at the best,utakuwa sana mpka kiwe sugu
 
Punguza makasiriko. Tafuta hela zako
 
Sema mwanaume wako, mmoja akuzingue ulaumu wote. You guys hamna logic kabisa
 
Au ndio zile Picha zangu za Kikubwa na video zangu nikinaniliwa unazipata kwa 10K tu. Umemtumia picha za naniliu halafu amekuyeyusha kutuma hela ndio umemwanzishia huu Uzi .??
 
Back
Top Bottom