Papasa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,619
- 5,780
Kama hajakuoa huna haki yoyote ile ya kulalamika chochote anachokupa ni kama zawadi tuu lakini sio wajibu wake kufanya hivyo mapenzi ni starehe sio kitega uchumi, Mimi kama katibu wa UWABATA Kanda ya kaskazini nimpongeze sana huyo comrade kwa maamuzi mazuri kabisa yenye kutia matumaini, ungeweka jina lake hapa ili tumtambue kwenye kikao kijacho