SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
SIpo single ila nipo yaani unakuwa hujielewi kama upo single au haupo.
Sasa ni hivi na mshikaji wangu. Sio mpenzi tunapendaga kwenda outings kula lunch nakunywa . Kazi zetu sio za kujipangiwa . Okay sasa huyo mwana, sio hanioni mie wakike nope kanichukulia mie mshikaji tu hajaweka akilini mapenzi.
Ila sio siri mie na mpenzi wake anatuboa akishaona wanawake wenye matako makubwa anaacha hata kula anawaangalia sasa ukute ana maziwa makubwa kama nicole wa huba anazima . Sana . Meaning anatoweka gafla . Pap mie kumzingatia kumbe mwana anaenda kumsoundisha anachukua namba . Halafu baada ya siku mbili anakusimulia . Nikauliza kwani wasio nalo shida nini maana hata wangu before ndio hiyo.
Anaacha kila kitu hadi wewe anamsalimia kapagawa kwani huwa shida nini unakuta mwana anaacha familia yake yotekwenye gari anapiga macho hadi gari inapata ajali.
Hebu mfunguke nyie wazee shida nini unamke fine but mnaang'aza mimacho hii nikero.