Wanaume mnao tumia english kutongoza

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
✌️

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
 
Wewe siumeme tuuu,kiinglishi hakipendi, visingizio weka paleee🤔
 
Weka ushahidi kwa waliokutongoza kwa kimombo nikuamini kuwa unasema kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…