Wanaume mnao tumia english kutongoza

Wanaume mnao tumia english kutongoza

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
✌️

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
 
✌️

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magar ndio kabisa nakukataa
Wewe siumeme tuuu,kiinglishi hakipendi, visingizio weka paleee🤔
 
✌️

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magar ndio kabisa nakukataa
Weka ushahidi kwa waliokutongoza kwa kimombo nikuamini kuwa unasema kweli.
 
Back
Top Bottom