Wanaume mnao tumia english kutongoza

Wanaume mnao tumia english kutongoza

[emoji3577]

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Uliwahi kutushindanisha vipi mteule wa jimbo alipatikana?
 
wengine ukiwaambia dada mambo mi ni yule kaka tulikutana pale station wanakuanzishia wenyewe utakuta ooh i am married ukiongea wewe tu wanataka uwatafsirie tena
 
Kwanza tumechoka kutongozwa,Yaan hatutaki....imekaa kinafki kweli[emoji849]
Unataka tuwakimbize kama kuku kama hutaki mtongozo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nachukia mwanaume anaetongoza kila mwanamke
Kumbe una wivu!
Aina yako unataka upigwe vocal wewe hata ukiwa unamkataa mtu.
Tatizo hapo attention inahamia kwa mwingine ndio sababu hupendi
 
Back
Top Bottom