Wanaume mnao tumia english kutongoza

Wanaume mnao tumia english kutongoza

✌️

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
haya ndio mambo sasa
 
Wee sii umesema unapenda hela tuu sasa mtongozo wa nini tena.
U r confusing us u know🤣🤣🤣
 
Kwahiyo unapikuja kunitongoza na pesa zako zingatia na ili
 
Back
Top Bottom